Propaganda za kisiasa kwa kutumia Akili Mnemba (AI) kuelekea 2024 / 2025

Propaganda za kisiasa kwa kutumia Akili Mnemba (AI) kuelekea 2024 / 2025

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Mwandishi anatupitisha kina na kutoa tahadhari ya jinsi ya kuepuka kuwa misukule ya habari, kipindi hiki kuelekea 2024 / 2025

Tunaangalia namna mabadiliko ya sekta ya habari na mawasiliano ikiwemo akili mnemba (Artificial intelligence-AI) yanavyoleta changamoto na umuhimu wa kuwa makini ili kutojikuta unaendeshwa na habari hasa potufu....

Tony Alfred K ni mwandishi wa mwenye style mbalimbali za kuwakilisha habari na uchambuzi anayefanya shughuli zake na media ya The Chanzo anaelezea jinsi mtu mmoja anavyoweza kuchukua nafsi 30 kujaribu kupenyeza habari potofu katika dunia hii ya kidijitali .... kwa mfano
.
Source : The Chanzo
 
Back
Top Bottom