Propaganda zote za CCM kwa CHADEMA zimefeli, tuwashauri mbinu mpya na za kisasa

Propaganda zote za CCM kwa CHADEMA zimefeli, tuwashauri mbinu mpya na za kisasa

baada ya miaka 5 tena mtabaki na stori hizi hizi

Kwa sasa Chadema aina maamuzi huru tena Muulizeni Lema why ajasubutu kufunua mdomo kwa Mange baada ya kutuhumiwa amenunuliwa?

Siasa ya Upinzani aipo tena kwa Akina heche wala Lema now Wanaharakati wa nje ndio waanamua nani chadema awe nani asiwe
Kwasasa pumzi ya mwisho ya ma ccm inalindwa na jeshi la polisi tuuu, nje ya hapo kwisha habari yenu!.

Ccm hasa hii chini ya samuya, imepoteza kbs ushawishi kwa umma, ukiona mkutano wowote wa maccm ktk miaka ya sasa jua PESA imetumika!.
 
Walianza kusema Chadema ni chama cha Kichaga cha Kikanda hasa kaskazini, hii propaganda ilikufa ikazikwa.

Wakasema chama cha Kikatoliki, hatuwasikii tena.

Wakawarubuni baadhi ya viongozi kuanzisha/kuhamia ACT/CHAUMA, kina Zitto, Mwalimu, leo wanatamani kurudi.

Wamemtumia msajili wa vyama kukifungia chama kwa mwaka mzima, wariporuhusu moto walioupata hawatasahau.

Wakasema wanaharakati wanaoisaidia Chadema wanalipwa. Wamefeli.

Wakazuia ruzuku ili chama kife. Tone tone ni counter attack.

Wakajaribu kutumia Wakatoliki feki hadi wakaenda kwa Papa kushitaki, wamefeli.

Wakajaribu kutumia viongozi wa dini kina Mwaipopo, Mwamposa kukishambulia chama wameshindwa, wakawashambulia viongozi wa dini waliowakosoa kina Kitima, Gwajima wameshindwa.

Wamewalipa baadhi ya viongozi feki kina Ngozi kukihujumu chama, wanaumbuka mchana chama kipo imara.

Project Selasini. Imefeli kabla haijaanza.

Wamemfunga Mkiti kwa kosa la kubumba wakadhani watakidhoofisha chama, Sub ya Heche hawakuitegemea.

Wamejaribu mbinu ya kumhonga Lissu ma B na Heche ili wawasaliti wananchi wameshindwa.

Wakazua Heche kala hela za tone tone, leo wanasema Heche anajenga nyumba hii ndiyo propaganda ya kiwango cha chini naya kipuuzi tangu kuumbwa kwa CCM.

Kwenye mitandao ya kijamii na content creators wa Bashite wameshindwa vibaya sana, wakienda Insta/Watsap/Facebook wanakutana na Mange na Maria na Gen Z, wakija JF tunawagonga nyundo, wakienda Twitter wanakutana na kina Think Different, Mwang'ombe hawapumui.

Kwenye uanaharakati huko wanakutana na kina shangazi Maria, Hilda na, bro Sativa.

Wakikimbilia Mahakamani wanakutana na Kibatala.

Wakija mitaani wanakutana na nyomi la Katoro hadi zile pikipiki za SSH wamezibadili rangi, tuwasaidieje.

Mwenye ushauri mpya na wa kisasa awasaidie Wasira hawezi kuwapa mbinu mpya za propaganda zaidi ya kuwaambia wawateke wapinzani.
Mbinu za kisasa ni Katiba mpya,Tume huru ya uchaguzi,Ukweli,Uwazi,Uwajibikaji n.k na sio Janja Janja!
 
ukweli ni Kwamba Lema na Heche wanawaogopa sana Akina Mange kwa maana wanajua wakiamua kuwavua nguo wanapoteana
Hizi ni fikra zako, na bahati mbaya ni fikra duni na potofu kabisa maana huna ushahidi bali ni za kusadikika. Pole.
 
Hii mbona imestukiwa mapema sana.

HOAbIYraIAABCGz.jpeg
 
Back
Top Bottom