Propaganda zote za CCM kwa CHADEMA zimefeli, tuwashauri mbinu mpya na za kisasa

Kwasasa pumzi ya mwisho ya ma ccm inalindwa na jeshi la polisi tuuu, nje ya hapo kwisha habari yenu!.

Ccm hasa hii chini ya samuya, imepoteza kbs ushawishi kwa umma, ukiona mkutano wowote wa maccm ktk miaka ya sasa jua PESA imetumika!.
 
Mbinu za kisasa ni Katiba mpya,Tume huru ya uchaguzi,Ukweli,Uwazi,Uwajibikaji n.k na sio Janja Janja!
 
ukweli ni Kwamba Lema na Heche wanawaogopa sana Akina Mange kwa maana wanajua wakiamua kuwavua nguo wanapoteana
Hizi ni fikra zako, na bahati mbaya ni fikra duni na potofu kabisa maana huna ushahidi bali ni za kusadikika. Pole.
 
Hii mbona imestukiwa mapema sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…