Prophet Denis: Matusi kwa rais Samia hayaleti haki tunayo itaka, bali ni kuchukua laana

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kumtukana rais aisaidii, kuna kijana sasa hivi anapigana hatima anandoto ya kuwa mtu wa maana halafu sasa hivi anaenda mtandaoni, akiona tu picha ya Rais Samia anamtukana akiwa tu kwenye simu yake, yeye akiamini kwamba kwenye simu yupo salama, hajui kwenye ulimwengu wa roho unarekodi kila kitu alisema Prophet Denis

Ni kweli kabisa. Huyu Profet namkubali sana.
 
Kumtukana rais aisaidii, kuna kijana sasa hivi anapigana hatima anandoto ya kuwa mtu wa maana halafu sasa hivi anaenda mtandaoni, akiona tu picha ya Rais Samia anamtukana akiwa tu kwenye simu yake, yeye akiamini kwamba kwenye simu yupo salama, hajui kwenye ulimwengu wa roho unarekodi kila kitu alisema Prophet Denis
Wewe na aliyekutuma ni matacore tu
 
Back
Top Bottom