PreGE2025 Prophet Malisa: Mimi naliombea taifa la Tanzania na viongozi wote akiwemo Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mtumishi wa Mungu Phophet Clear Malisa ametoa wito kwa watanzania kuilinda amani kwa gharama yoyote hasa katika kupindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Prophet Malisa akifanya mahojiano nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma alipokuwa amealikwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi, amesema viongozi wa dini wanafanya jitihada kubwa za kuliombea taifa ili kuvuka salama kwenye uchaguzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Malisa ameeleza kuwa uchaguzi ni zoezi la siku moja hivyo watanzania wasiitumie siku moja kuvuruga amani iliyotunzwa na itakayotusaidia kwa muda mrefu.

Hata hivyo ameeleza kuwa kwenye maombi yake kama kiongozi wa dini amekua akiwaombea viongozi wote ikiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu

Mtumishi wa Mungu Phophet Clear Malisa ametoa wito kwa watanzania kuilinda amani kwa gharama yoyote hasa katika kupindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Prophet Malisa akifanya mahojiano nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma alipokuwa amealikwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi, amesema viongozi wa dini wanafanya jitihada kubwa za kuliombea taifa ili kuvuka salama kwenye uchaguzi.

Malisa ameeleza kuwa uchaguzi ni zoezi la siku moja hivyo watanzania wasiitumie siku moja kuvuruga amani iliyotunzwa na itakayotusaidia kwa muda mrefu.

Hata hivyo ameeleza kuwa kwenye maombi yake kama kiongozi wa dini amekua akiwaombea viongozi wote ikiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu
Stupid, badala ya kuonya kuwa haki itendeke katika uchaguzi , kuwaambia watawala kuwa wenzenu wanalalamika kuwa chaguzi hazina haki kwa vile hakuna tume huru, analeta uchawa eti kulinda amani. Utalinda amani wakati unaninyanganya shati langu kwa kiburi cha utanifanya nini? Mjasilia dini huyo!
 
Mkuu shukuru hata kwa hilo
 
Hawa ndo wanaotukwamisha 👇

20250529_171816.jpg
 
Yuko sahihi kazi ya kiongozi w dini ni kuombea wote sababu ndani ya dini wamo waumini wa vyama vyote tawala na upinzani na wasio na vyama

Ndio maana hata kanisa katoliki kwenye ibada huwa kuna kipindi cha kutakiana amani muumini na muumini mwingine bila kujali wana tofauti za kisiasa ,au kidini au majumbani mwao au makazini nk
 
Back
Top Bottom