Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Stupid, badala ya kuonya kuwa haki itendeke katika uchaguzi , kuwaambia watawala kuwa wenzenu wanalalamika kuwa chaguzi hazina haki kwa vile hakuna tume huru, analeta uchawa eti kulinda amani. Utalinda amani wakati unaninyanganya shati langu kwa kiburi cha utanifanya nini? Mjasilia dini huyo!Mtumishi wa Mungu Phophet Clear Malisa ametoa wito kwa watanzania kuilinda amani kwa gharama yoyote hasa katika kupindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Prophet Malisa akifanya mahojiano nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma alipokuwa amealikwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi, amesema viongozi wa dini wanafanya jitihada kubwa za kuliombea taifa ili kuvuka salama kwenye uchaguzi.
Malisa ameeleza kuwa uchaguzi ni zoezi la siku moja hivyo watanzania wasiitumie siku moja kuvuruga amani iliyotunzwa na itakayotusaidia kwa muda mrefu.
Hata hivyo ameeleza kuwa kwenye maombi yake kama kiongozi wa dini amekua akiwaombea viongozi wote ikiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu
Mkuu shukuru hata kwa hiloStupid, badala ya kuonya kuwa haki itendeke katika uchaguzi , kuwaambia watawala kuwa wenzenu wanalalamika kuwa chaguzi hazina haki kwa vile hakuna tume huru, analeta uchawa eti kulinda amani. Utalinda amani wakati unaninyanganya shati langu kwa kiburi cha utanifanya nini? Mjasilia dini huyo!
HAPANA, WASIWE WANAFIKI! SEMA KAMA UNAKUFA UFE KAMA YESU UNAYESEMA AMEKUTUMAMkuu shukuru hata kwa hilo
Mungu anazidi kuwapa ujasiri hata hilo tu si dogo kwa hali ya sasaHAPANA, WASIWE WANAFIKI! SEMA KAMA UNAKUFA UFE KAMA YESU UNAYESEMA AMEKUTUMA
Wa October mkuu, ambao chadema hawatashiriki ndo anaongelea.Uchaguzi upi huo?