Prophet Sanga 2022: Niliona mawe yenye moto,nikaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, ikakaa, tuombe

"Kama tutaungana kama taifa tukaomba bendera ya Tanzania itapita katika moto bila kuungua lakini tusipoomba tutashuhudia kifo tena, unabii unapotolewa tunapaswa kuukubali na kuingia kwenye maombi" - Prophet Sanga.
Daa! Yaani uone wewe peke yako harafu uje useme tuungane kama taifa kuomba'. Si mmalizane wenyewe mlioonyeshana!
 
Kuna Sanga mmoja nae eti ni mchungaji tapeli sana
 
Na kuna watu wataamini huu upuuzi
 
Nabii aende kumuombea Pengo ..
Aache project yake ya kulazimisha Phili Mpango awe Rais mwaka 2025...
Kwani Pengo na huyo muhubiri kuna uhusiano gani? Ingawa Pengo hanihusu kimaisha, lakini huu mtindo wa kufanya attack kwa sensitive issues bila mpango wowote kutaamsha hata wale moderate kurudisha mapigo, hapo ndiyo mambo uanza kuharibika. You are bored of stability!
 
Eti prophet mweee! Yaani kwenda marekani kuchukua kanisa na kupitia uchawi Nigeria wa kurubunia watu hapo ushakuwa prophet? Yaani i
 
Udhaifu wa wazi wa mama yenu unawatesa hamuishi kwa amani.
Ni kitu gani kimemshinda ?
miradi gani aliyo irirhi imesimama?
je kuna miradi mipya.?
Bidhaa gani zinazo zalishwa zimekosa soko?
Kuna vurugu yeyote?
 
Rubbish
 
na Kuna wapumbavu bado wanatoa sadaka

religion is a new opium in Africa
 
Kupuuza na kutopuuza, yote sawa!

Kwa kuwa kati ya hayo mawili, moja lazima liwe jibu!,,

Wapuzaji muendelee kupuuza

Wenye kushika hilo, waendelee kuombea Taifa letu!

Tunaweza kuwa tupo kwenye hali mbaya saana kiuchumi na kisiasa, lakini ni bora zaidi, kuliko kukosa kabisa Amani na kupoteza ndugu zetu kwa upanga wa Mungu!

Mungu, wewe bado ni kimbilio letu tu!

Tusikufuate wewe uliye mpaji wa vyote, na kwako ndiko kuna uzima! sasa twende kwa nani kwingine?

Hata kama tunakukosea Mungu, bado tu tunakuhitaji! Uturehemu
 
Nabii aende kumuombea Pengo ..
Aache project yake ya kulazimisha Phili Mpango awe Rais mwaka 2025...
Kadinali ni Mshauri wa Papa, kwaiyo kama ni kweli unachosema basi Mpango atakuwa Rais ata kabla ya 2025!
 
Ipo pia ya Prophet Dr.Ian Ndlovu ambaye alitabiri Rais Samia kufanya foolish decisions baada ya kishauriwa vibaya na watu wa karibu yake na hiyo itapelekea apingwe ndani ya Chama chake na nje ya chama chake(nadhani Mama anaonja joto ya Jiwe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…