Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Wahi milembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Sanga mmoja nae eti ni mchungaji tapeli sana"Kama tutaungana kama taifa tukaomba bendera ya Tanzania itapita katika moto bila kuungua lakini tusipoomba tutashuhudia kifo tena, unabii unapotolewa tunapaswa kuukubali na kuingia kwenye maombi" - Prophet Sanga.
Daa! Yaani uone wewe peke yako harafu uje useme tuungane kama taifa kuomba'. Si mmalizane wenyewe mlioonyeshana!
Bangi + kisungura+doublekick+ugoroHuyo “nabii” namshauri aache kuvuta bangi.
Na kuna watu wataamini huu upuuzi"Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga.
"Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka magharibi ya Tanzania wakileta mtafaruku katika hili Taifa, hawa ni watu kutoka magharibi wakija katikati wataleta mtafaruku mkubwa" - Prophet Sanga.
"Nikaona moto, Mungu akasema namuona shetani akipanda kitu katikati yenu kutoka watu wa magharibi, magharibi ni wapi!? naiona bendera ya Tanzania ikipita katikati ya moto, tunatakiwa tuombe bendera hii isiungue, kama bendera hii ikiungua hakutabaki mwanasiasa ataebaki salama" - Prophet Sanga.
"Kabla sijaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, niliona mawe ya moto yakija Tanzania, na baadaye nikaona bendera ya nchi yangu ikipita katika moto" - Prophet Sanga.
"Kama tutaungana kama taifa tukaomba bendera ya Tanzania itapita katika moto bila kuungua lakini tusipoomba tutashuhudia kifo tena, unabii unapotolewa tunapaswa kuukubali na kuingia kwenye maombi" - Prophet Sanga.
"Sina mashaka na alichonionyesha Mungu, pitia historia yangu, kama hatutaomba unabii huu utawakumbusha, naiona bendera ya Tanzania ikipita katika moto na ikakaa, naviona vifo, Mimi na wewe tunaweza kusimama na kuomba, kama unajiona mwenye hekima unataka kuthibitisha, subiri ifike 2023 na utathibitisha" - Prophet Sanga.
"Kama hatutaomba na Mimi kama ulivyowewe nitasubiri kuona hili litokee katika ulimwengu wa kawaida baada ya kuona ikitokea katika ulimwengu wa kiroho" - Prophet Sanga.
"Kuna watu watakufa, wataobaki wataunda kundi la pembe tatu lenye pembe saba, nani anaweza kunionyesha pembe tatu yenye pembe sana" - Prophet Sanga.
Kwani Pengo na huyo muhubiri kuna uhusiano gani? Ingawa Pengo hanihusu kimaisha, lakini huu mtindo wa kufanya attack kwa sensitive issues bila mpango wowote kutaamsha hata wale moderate kurudisha mapigo, hapo ndiyo mambo uanza kuharibika. You are bored of stability!Nabii aende kumuombea Pengo ..
Aache project yake ya kulazimisha Phili Mpango awe Rais mwaka 2025...
Eti prophet mweee! Yaani kwenda marekani kuchukua kanisa na kupitia uchawi Nigeria wa kurubunia watu hapo ushakuwa prophet? Yaani i"Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga.
"Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka magharibi ya Tanzania wakileta mtafaruku katika hili Taifa, hawa ni watu kutoka magharibi wakija katikati wataleta mtafaruku mkubwa" - Prophet Sanga.
"Nikaona moto, Mungu akasema namuona shetani akipanda kitu katikati yenu kutoka watu wa magharibi, magharibi ni wapi!? naiona bendera ya Tanzania ikipita katikati ya moto, tunatakiwa tuombe bendera hii isiungue, kama bendera hii ikiungua hakutabaki mwanasiasa ataebaki salama" - Prophet Sanga.
"Kabla sijaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, niliona mawe ya moto yakija Tanzania, na baadaye nikaona bendera ya nchi yangu ikipita katika moto" - Prophet Sanga.
"Kama tutaungana kama taifa tukaomba bendera ya Tanzania itapita katika moto bila kuungua lakini tusipoomba tutashuhudia kifo tena, unabii unapotolewa tunapaswa kuukubali na kuingia kwenye maombi" - Prophet Sanga.
"Sina mashaka na alichonionyesha Mungu, pitia historia yangu, kama hatutaomba unabii huu utawakumbusha, naiona bendera ya Tanzania ikipita katika moto na ikakaa, naviona vifo, Mimi na wewe tunaweza kusimama na kuomba, kama unajiona mwenye hekima unataka kuthibitisha, subiri ifike 2023 na utathibitisha" - Prophet Sanga.
"Kama hatutaomba na Mimi kama ulivyowewe nitasubiri kuona hili litokee katika ulimwengu wa kawaida baada ya kuona ikitokea katika ulimwengu wa kiroho" - Prophet Sanga.
"Kuna watu watakufa, wataobaki wataunda kundi la pembe tatu lenye pembe saba, nani anaweza kunionyesha pembe tatu yenye pembe sana" - Prophet Sanga.
Ni kitu gani kimemshinda ?Udhaifu wa wazi wa mama yenu unawatesa hamuishi kwa amani.
Rubbish"Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga.
"Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka magharibi ya Tanzania wakileta mtafaruku katika hili Taifa, hawa ni watu kutoka magharibi wakija katikati wataleta mtafaruku mkubwa" - Prophet Sanga.
"Nikaona moto, Mungu akasema namuona shetani akipanda kitu katikati yenu kutoka watu wa magharibi, magharibi ni wapi!? naiona bendera ya Tanzania ikipita katikati ya moto, tunatakiwa tuombe bendera hii isiungue, kama bendera hii ikiungua hakutabaki mwanasiasa ataebaki salama" - Prophet Sanga.
"Kabla sijaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, niliona mawe ya moto yakija Tanzania, na baadaye nikaona bendera ya nchi yangu ikipita katika moto" - Prophet Sanga.
"Kama tutaungana kama taifa tukaomba bendera ya Tanzania itapita katika moto bila kuungua lakini tusipoomba tutashuhudia kifo tena, unabii unapotolewa tunapaswa kuukubali na kuingia kwenye maombi" - Prophet Sanga.
"Sina mashaka na alichonionyesha Mungu, pitia historia yangu, kama hatutaomba unabii huu utawakumbusha, naiona bendera ya Tanzania ikipita katika moto na ikakaa, naviona vifo, Mimi na wewe tunaweza kusimama na kuomba, kama unajiona mwenye hekima unataka kuthibitisha, subiri ifike 2023 na utathibitisha" - Prophet Sanga.
"Kama hatutaomba na Mimi kama ulivyowewe nitasubiri kuona hili litokee katika ulimwengu wa kawaida baada ya kuona ikitokea katika ulimwengu wa kiroho" - Prophet Sanga.
"Kuna watu watakufa, wataobaki wataunda kundi la pembe tatu lenye pembe saba, nani anaweza kunionyesha pembe tatu yenye pembe sana" - Prophet Sanga.
🤣🤣Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga.
Kadinali ni Mshauri wa Papa, kwaiyo kama ni kweli unachosema basi Mpango atakuwa Rais ata kabla ya 2025!Nabii aende kumuombea Pengo ..
Aache project yake ya kulazimisha Phili Mpango awe Rais mwaka 2025...
Ipo pia ya Prophet Dr.Ian Ndlovu ambaye alitabiri Rais Samia kufanya foolish decisions baada ya kishauriwa vibaya na watu wa karibu yake na hiyo itapelekea apingwe ndani ya Chama chake na nje ya chama chake(nadhani Mama anaonja joto ya Jiwe)"Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga.
"Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka magharibi ya Tanzania wakileta mtafaruku katika hili Taifa, hawa ni watu kutoka magharibi wakija katikati wataleta mtafaruku mkubwa" - Prophet Sanga.
"Nikaona moto, Mungu akasema namuona shetani akipanda kitu katikati yenu kutoka watu wa magharibi, magharibi ni wapi!? naiona bendera ya Tanzania ikipita katikati ya moto, tunatakiwa tuombe bendera hii isiungue, kama bendera hii ikiungua hakutabaki mwanasiasa ataebaki salama" - Prophet Sanga.
"Kabla sijaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, niliona mawe ya moto yakija Tanzania, na baadaye nikaona bendera ya nchi yangu ikipita katika moto" - Prophet Sanga.
"Kama tutaungana kama taifa tukaomba bendera ya Tanzania itapita katika moto bila kuungua lakini tusipoomba tutashuhudia kifo tena, unabii unapotolewa tunapaswa kuukubali na kuingia kwenye maombi" - Prophet Sanga.
"Sina mashaka na alichonionyesha Mungu, pitia historia yangu, kama hatutaomba unabii huu utawakumbusha, naiona bendera ya Tanzania ikipita katika moto na ikakaa, naviona vifo, Mimi na wewe tunaweza kusimama na kuomba, kama unajiona mwenye hekima unataka kuthibitisha, subiri ifike 2023 na utathibitisha" - Prophet Sanga.
"Kama hatutaomba na Mimi kama ulivyowewe nitasubiri kuona hili litokee katika ulimwengu wa kawaida baada ya kuona ikitokea katika ulimwengu wa kiroho" - Prophet Sanga.
"Kuna watu watakufa, wataobaki wataunda kundi la pembe tatu lenye pembe saba, nani anaweza kunionyesha pembe tatu yenye pembe sana" - Prophet Sanga.
"msono" ni nini ndugu Sandali Ali !?Hata Mackenzie alikuwa akiona msono, tena ya wazi kabisa