kidonto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 2,322
- 3,604
Prophet Uebert Angel ni kati ya 5 African top Prophets of God.
Anazungumzia vile Mungu alimwambia anavyomwandaa Young Pastor Tony kuwa Watch Man Kwa Tanzania.
Anasema Mungu alimwambia pia kuhusu Pastor mmoja huko Ghana, na alimtaja Kwa jina, japo ikaleta Maneno mengi Toka Kwa Pastors na Bishops ambao walikua wanaona wao ni Wakubwa sana, akazungumzia kuhusu Uchaguzi pia akamtaja Pastor Tony kama Young Pastor ambaye Mungu amemwandaa Kwa ajiri ya Tanzania, kayasema haya siku chache tu kabla.
View: https://youtu.be/1wUGeCZ3wQs?si=ghomKeCxdLw9aTQ6