Silasuga mahinyila
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 209
- 114
wakuu heshima kwenu.
Natumaini thread yangu pia licha ya kutatua changamoto zinazonikabili pia itakuwa solution ya mtaji kwa baadhi ya vijana.
Mimi na mwenzangu I mean rafiki yangu baada ya kuhitimu elimu ya chuo tumefikiria kujiajili.
Baada ya kila mbinu ya kibiashara tuliyoifanya kugonga mwamba tumefikia hatua ya kuandilka proposal. Mtaji tuliyonao ni hekari kumi na tano ambazo tumewekeza kwa matumizi ya miaka kumi. Hatuna mtaji zaidi.
Tunataka kuanzisha Agriculture project kwa maana hiyo tumeandika proposal kuomba financial support.
Nina maswali kidogo kwa wazoefu wa haya masuala.
Tunataka kuwasilisha propasal word Bank na FAO je, hawa jamaa hufadhili miradi kama hii?
Je, kwa ushauri wako monetary amount isi exceed kiasi gani?
Kikundi kinacho andika Proposal chafaa kuwa na watu kuanzia wangapi?
Je ninaweza kutuma proposal kupitia email zao ninazo ziona kwenye website ama kuna njia nyingine?
Nawasilisha.................