MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, kila mwaka amekuwa akiwasilisha kasoro kubwa za upotevu na matumizi ya hovyo ya mabilioni ya pesa za serikali, lakini hakuna hatua zozote madhubuti zinazochukuliwa na serikali kukomesha tabia hii.
Walipa kodi wa Tanzania ambao ni wafanyabiashara na wafanyakazi ni muhimu sasa kuunda chama cha walipa kodi wa Tanzania (Tanzania Taxpayers Association).
Malengo makuu ya chama hiki yawe ni kuhakikisha kuwa:-
- Serikali inakusanya kodi ipasavyo, na kuondoa misamaha ya kodi
- Kuhakikisha serikali inakuwa na baraza dogo la mawaziri lenye ufanisi
- Serikali idhibiti manunuzi na matumizi yasiyokuwa na tija kwa taifa. Eg. Ununuzi wa magari, samani za ofisini, safari za nje, nk.
- Kodi itumike zaidi kwenye miradi ya maendeleo, elimu, kilimo, utafiti na tiba
- ………………………………….
- …………………………………
Serikali itakaposhindwa kutoa majibu chama kiwasiliane na wanachama wazuie malipo ya kodi kwa muda hadi chama kipate majibu sahihi ya matumizi ya kodi zao kutoka kwa waziri wa fedha.
Napendekeza kikao cha kwanza kikutanishe, viongozi wa wenye viwanda nchini (CTI), vyama vyote vya wafanyakazi nchini, TCCIA n.k
Angalia hapa chini muundo wa vyama vya wenzetu.
FINLAND
CANADAThe Taxpayers' Association of Finland (Veronmaksajat) is an organisation representing both individual as well as company taxpayers. With its 228 000 members, TAF is one of the greatest citizen organisations in Finland. It was established in 1947.
The Association's aim is to reducethe tax burden and related public expenditure. In addition TAF pays attention to the simple and fair application of tax law and the uses of taxes. The Association's fifteen tax lawyers can be consulted by members in tax questions……………….
UNITED STATES OF AMERICAThe Canadian Taxpayers Federation (CTF) is a federally incorporated, not-for-profit citizen's group dedicated to lower taxes, less waste and accountable government. The CTF was founded in Saskatchewan in 1990 when the Association of Saskatchewan Taxpayers and the Resolution One Association of Alberta joined forces to create a national taxpayers organization. Today, the CTF has over 60,000 supporters nation-wide…………………………………….
Since it was founded over 40 years ago, the National Taxpayers Union's Number One job has been helping to protect every single American's right to keep what they've earned. Our guiding principle has always been: "This is your money and the government should return it to you." We are a nonprofit, non-partisan citizen group whose members work every day for lower taxes and smaller government at all levels………………………………………