Proposed: Tanzania Taxpayer Association

Proposed: Tanzania Taxpayer Association

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
4,974
Reaction score
785

Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, kila mwaka amekuwa akiwasilisha kasoro kubwa za upotevu na matumizi ya hovyo ya mabilioni ya pesa za serikali, lakini hakuna hatua zozote madhubuti zinazochukuliwa na serikali kukomesha tabia hii.


Walipa kodi wa Tanzania ambao ni wafanyabiashara na wafanyakazi ni muhimu sasa kuunda chama cha walipa kodi wa Tanzania (Tanzania Taxpayers Association).

Malengo makuu ya chama hiki yawe ni kuhakikisha kuwa:-

  • Serikali inakusanya kodi ipasavyo, na kuondoa misamaha ya kodi

  • Kuhakikisha serikali inakuwa na baraza dogo la mawaziri lenye ufanisi

  • Serikali idhibiti manunuzi na matumizi yasiyokuwa na tija kwa taifa. Eg. Ununuzi wa magari, samani za ofisini, safari za nje, nk.

  • Kodi itumike zaidi kwenye miradi ya maendeleo, elimu, kilimo, utafiti na tiba

  • ………………………………….

  • …………………………………
Wanachama wawe na uwezo wa kuiuliza na kuibana serikali, juu ya matumizi ya kodi zao.

Serikali itakaposhindwa kutoa majibu chama kiwasiliane na wanachama wazuie malipo ya kodi kwa muda hadi chama kipate majibu sahihi ya matumizi ya kodi zao kutoka kwa waziri wa fedha.

Napendekeza kikao cha kwanza kikutanishe, viongozi wa wenye viwanda nchini (CTI), vyama vyote vya wafanyakazi nchini, TCCIA n.k

Angalia hapa chini muundo wa vyama vya wenzetu.


FINLAND


The Taxpayers' Association of Finland (Veronmaksajat) is an organisation representing both individual as well as company taxpayers. With its 228 000 members, TAF is one of the greatest citizen organisations in Finland. It was established in 1947.
The Association's aim is to reducethe tax burden and related public expenditure. In addition TAF pays attention to the simple and fair application of tax law and the uses of taxes. The Association's fifteen tax lawyers can be consulted by members in tax questions……………….
CANADA


The Canadian Taxpayers Federation (CTF) is a federally incorporated, not-for-profit citizen's group dedicated to lower taxes, less waste and accountable government. The CTF was founded in Saskatchewan in 1990 when the Association of Saskatchewan Taxpayers and the Resolution One Association of Alberta joined forces to create a national taxpayers organization. Today, the CTF has over 60,000 supporters nation-wide…………………………………….
UNITED STATES OF AMERICA


Since it was founded over 40 years ago, the National Taxpayers Union's Number One job has been helping to protect every single American's right to keep what they've earned. Our guiding principle has always been: "This is your money and the government should return it to you." We are a nonprofit, non-partisan citizen group whose members work every day for lower taxes and smaller government at all levels………………………………………
 
Mkuu Maji Moto

Hicho chama kipo bongo na kinaitwa Taxpayers Association of Tanzania, TATA, na raisi wake anaitwa Otieno Igogo, Hawa wajamaa bado hawajajitangaza vya kutosha na walipa kodi wengi hawakifahamu hiki chama wala kazi zake
 
Mkuu Maji Moto

Hicho chama kipo bongo na kinaitwa Taxpayers Association of Tanzania, TATA, na raisi wake anaitwa Otieno Igogo, Hawa wajamaa bado hawajajitangaza vya kutosha na walipa kodi wengi hawakifahamu hiki chama wala kazi zake

Mkuu bado hakipo nchini.

Unachozungumzia ni Chama Cha Mawakala wa Forodha Tanzania(TAFFA) na Rais wa hicho chama ni Otieno Igogo
 
This idea makes a lot of sense!
Majimoto, You can be the pioneer.

Usisubiri mtu aje kuanzisha, that person can be you.
Make a move...
 
Thanks Prodigal son.... Kama chama kipo na hakijitangazi, then we dont need it!!!

Majimoto... please lets take this serious, naunga mkono the motion
 
Great idea......Ingawa ile mijamaa haichelewagi kusema mnataka kujihusisha na sihasa.....!
 
Katika malengo ongeza kuondoa kodi kandamizi ili kujenga usawa kwa Watanzania wote. Siyo mdogo tu ndiyo anaminywa kwa wakati wafanyabiashara wakubwa (Makampuni) wakipeta
 
Mkuu bado hakipo nchini.

Unachozungumzia ni Chama Cha Mawakala wa Forodha Tanzania(TAFFA) na Rais wa hicho chama ni Otieno Igogo

Ni kweli hicho chama kipo na kilianzishwa na huyo Bwana Igogo wakati hajawa Mwenyekiti wa TAFFA. Alipopata uenyekiti wa TAFFA na kwa kuwa kule TAFFA kuna ulaji na kuwa mbele akakifungia kabatini. Huenda ni kwa muda tu akiondoka kwenye uenyekiti wa TAFFA akakifufua.
 
Sidhani hivyo vyombo kama vina influence za kutishia hizo serikali zao labda kuwasaidia tu watu kujua haki zao kiushuru kuna watu wengine katika hizo nchi are responsible for paying their own taxes hivyo utafuta ushauri wa kuweza kupunguza ushuru au sheria zinazowaruhusu kutumia hela fulani kabla ya kulipa. Hata namba ya members wake inakuambia the organisations are no more than pressure groups, as for direct influence in the government i doubt.

Na kuhusu majukumu ya ushuru si tayari kuna wakaguzi wa serikali na chombo cha ushuru, the tax system is so complicated and at times requires privacy in some cases hivyo ni vyombo vya serikali tu ndio vinanguvu ya kupekua ndani. Watu wengine hawatapenda nosey people into their businessess na kujua vipato vyao if its not in the interest of the public. Hivyo ni muhimu kuwa na watu wenye ruhusa za kufanya hivyo na kuficha yasiyotakiwa kusemwa kama amna sheria iliyovujwa, sijui kwetu hila wenzetu wenye kazi hizo huwa wanakula kiapo cha ku-respect peoples privacy.

Na hayo masuala mengi uliyoyaelezea hela ya ushuru ifanyie nini ndio sababu tuna bunge ambalo ni chombo cha ku-check hivyo vitu, iwapo tutapleka ma MC bungeni au majaa unategemea watazungumzia hivyo vitu kwa ubishani na uelevu. Bunge ndio chombo cha kuuliza hayo maswali mengine na kuweza kuleta mabadiliko yoyote katika matumizi ambayo so far yanakuja na sera mbovu na unknown priorities.

In all its just poor politics in Bongo.
 
Sidhani hivyo vyombo kama vina influence za kutishia hizo serikali zao labda kuwasaidia tu watu kujua haki zao kiushuru kuna watu wengine katika hizo nchi are responsible for paying their own taxes hivyo utafuta ushauri wa kuweza kupunguza ushuru au sheria zinazowaruhusu kutumia hela fulani kabla ya kulipa. Hata namba ya members wake inakuambia the organisations are no more than pressure groups, as for direct influence in the government i doubt.

Na kuhusu majukumu ya ushuru si tayari kuna wakaguzi wa serikali na chombo cha ushuru, the tax system is so complicated and at times requires privacy in some cases hivyo ni vyombo vya serikali tu ndio vinanguvu ya kupekua ndani. Watu wengine hawatapenda nosey people into their businessess na kujua vipato vyao if its not in the interest of the public. Hivyo ni muhimu kuwa na watu wenye ruhusa za kufanya hivyo na kuficha yasiyotakiwa kusemwa kama amna sheria iliyovujwa, sijui kwetu hila wenzetu wenye kazi hizo huwa wanakula kiapo cha ku-respect peoples privacy.

Na hayo masuala mengi uliyoyaelezea hela ya ushuru ifanyie nini ndio sababu tuna bunge ambalo ni chombo cha ku-check hivyo vitu, iwapo tutapleka ma MC bungeni au majaa unategemea watazungumzia hivyo vitu kwa ubishani na uelevu. Bunge ndio chombo cha kuuliza hayo maswali mengine na kuweza kuleta mabadiliko yoyote katika matumizi ambayo so far yanakuja na sera mbovu na unknown priorities.

In all its just poor politics in Bongo.

Swala siyo kutishia, ni kudai haki. Na in most cases, unafanikiwa zaidi unapokuwa unadai haki yako kwa nidhamu na hoja, kuliko unapkokuwa unatishia! Na kwa nini uunde chombo cha kutishia, by the way? Busara kazi yake itakuwa ni nini sasa?
 
kuna chama cha walaji,
Ila hicho chama cha walipakodi sijakisikia, ni uhakika ni muhimu sana kuwa hai, ni vizuri tutambulike kwa payee zetu tunazolipa, kwa malipo tunayofanya kwa TIN number zetu, tunataka tuweke mkono wetu pia kwenye matumizi, sio mapato tu, anzisha basi mwanawane!!
mfano kwa nini mie payee yangu haichanganywi na malipo ya TIN zangu nyingi ambazo eti hawataki nizichanganye?
 
Ni pesa nyingi sana tunazochangia serikalini, lakini kuna mabata flani wanazichezea tu, itasaidia sana tukiwa na chombo tutachokitumia kuhoji! Thanks
 
Swala siyo kutishia, ni kudai haki. Na in most cases, unafanikiwa zaidi unapokuwa unadai haki yako kwa nidhamu na hoja, kuliko unapkokuwa unatishia! Na kwa nini uunde chombo cha kutishia, by the way? Busara kazi yake itakuwa ni nini sasa?

Utadai vipi haki kwenye mfumo usio na transparency na wala amna published books on government spending so how are you supposed to scrutinize anything or where are your arguments going be based on? Nidhamu haiwezi tolewa na raia au chombo kama pressure iwapo matumizi yenyewe atujui yanaenda vipi so far we only rely on 'whistle blowers' to know the mismanagement and allocations of social funds. Sasa sijui utatoa nidhamu gani hapo na kwa nani?

Kama wewe unavyoona kuna umuhimu wa matumizi ya Tax kujulikana kwa kuwa unailipia, kuna wengine wanataka kujua kwanini sector fulani za ardhi zao zinachukuliwa na kuwavurugia mienendo yao ya kimaisha walioizoea tongea enzi without consultation na locals. Kuna human rights groups lakini hawafanyi chochote not by choice hila kwa muundo wa nguvu uliojikita mahala pa juu. Tunarudi pale pale utasikiwa vipi au utatoa nidhamu gani kwenye serikali isiyo na transparency and a deaf ear.

Hicho chombo cha tax how is it supposed to go about bringing that 'social justice' and being a watchful eye in gov spendings? let me guess utaniambia mtataka serikali iweke wazi matumizi yake kama ni hivyo ingia kwenye majukwaa mengine utakuta watu vile vile wanataka kura zao zihisabiwe wazi hili NEC wasivuruge uchuguzi na kuiba kura. If that is the case tunarudi kwenye hule msemo wa 'mchuzi umeliwa na paka au paka kalamba mchuzi' the sentence has the same meaning different speakers. Point ni kwamba tatizo ni namna ya tunavyo ongozwa hata mkifungua hicho chama there is no guarantee that it would perform its intended duties, kwa kuwa kuna vyama vingi tayari ambavyo vimekwama through red tape including political parties with members in the house sasa jamani itakuwa a pressure group utawatisha kweli.

If you want a direct say at this things huna choice zaidi ya kuifikisha sauti kwenye jumba na kupambana na makamati ya bunge yaweke matumizi wazi, kupigana na CAG wawe wana publish spendings from shilling to shilling to justify spending, ukitaka sera za matumizi zi badilike na kuwepo na priority fulani kwanza itakubidi uwe mjengoni au muwe a political lobbying group. Halafu sijui hizo funds za kukiendesha hiko chama mtazitoa wapi, being an independent organisation.

Mwisho wa siku utakuja gundua it all falls into politics, non political groups dont achieve much especially on spending unless they can convince voters of their rights and mismanagement of the social funds from 'white halls' or Ikulu. Then again you some how get into politics just as TUCTA did. Since you have ideas of many weak policies you might as well be a political organisation with an aim to change the direction of the spending mtajikuta mnataka huo ubenge au lazima muwe nao hili muweze kuwa na direct influence.

Hivyo vya western organisation ndio kabisa sijavigusia amna lolote la maana watakachofanya hao kwenye system ambazo tax raises and cuts get plenty of political debate time in their houses of reps, so when the decisions are made there is nothing new they can offer that others havent argued about yaani hawawatishi kabisa in most cases.
 
In UK they have Taxpayers Alliance.
Kama kweli Tanzania kitakuwa na nguvu ,it a matter of time.Nia ya vyama hivi ni kucheck government wastes on spending sio,kwa wafanyabiashara !Wafanyabiashara kama wanataka kulinda manufaa yao kuna Chamber of Commerces etc.

Kama kweli hii Alliance ina ubavu ipendekeze haya:
1.Ondoa wakuu wa mikoa,wilaya,DED,DAO etc na vyeo vingine tunavyo toka ukoloni.Serikali za Mitaa ndio zipewe madaraka.
2.Hawa Wabunge wa Kuteuliwa ni wastes of space na taxpayers money.Sana sana ntaachia Walemavu tu,hwa wengine ni kuleta ngono bungeni !
Wazazi,Vijana etc it pure stupidity.
 
Wakati mwingine 'privately' huwa najiuliza hizi habari tunaziona kwenye TV tu, au hata tunapitia sehemu zingine kuzielewa zaidi. Eti the UK has the 'chambers of commerce' hiyo chambers ina fanya nini embu tuelezee kazi yake na akina nani wapo huko na wana shughuli gani ya kuibabaisha serikali unaelewa hata process za 'white paper' the 'government formal bill' (kwa faida yako policy paper) na vitu kama hivi vinapitia procedures gani kabla ya huo muswada kujadiliwa na Bunge zima.

Ngoja nikufaamishe kuna reading kama tatu hivi prior to that, kuna comittee ya bunge ambayo inaipa scrutiniy mainly consisting of by partisan MPs ingawa the government outnumbers the opposition na hao wabunge wote uchaguliwa kupitia expertice on those policy areas, through work experience. Pili kuna ministirials QUANGOS ( kwa kuwa policies karibu zote utungwa na wizara na ma-experts wao on the fields in questions)hawa ni non ministrial employees. Na wamejaa experts on the policy also, mfano a business 'tax' raise or relief policy will be independently discussed by Business Proffesors, Executive business employees at top levels, Market reseaches etc. By the time of the third reading inaingia bungeni waziri abahatishi majibu he is well prepared to defend the policy.

And before it becomes law or a policy it has to go to the 'house of lords' na kwenyewe waizungumzie tena na waipigie kura before it can be passed into law. Kama unafuatilia siasa au kusoma vitabu vyake au hata kama unasoma daily 'broadsheets' now and then utagundua kulikuwa na agenda ya Blair kulivuruga the second house kwa sababu sheria nyingi zinakwama kwa muda mrefu on the second house.

Akaja na mbinu ya kun'goa inheretence peerage kwa kuwa ina produce many outright conservative na sasa wanazungumzia kuwe na mabadiliko pia ya uchaguzi, kuwe 40:30:30 reps wateuliwe field experts, chosen peers and elected ones.

Hizo argument kwao zinatokana na kuiangalia demokrasia kwanza, if democracy is for the people and people elect there reps (kumbuka siasa za uk ni based on policies sells to voters) hivyo voters want those changes to occur through the house of elected reps, therefore the lower house has no business of objectivity.

Unataka kuniambia hawa ma experts wote hao wanayo ipitia hizo policies hii 'chambers of commerce' inaweza fanya nini kuzuia kitu, na nani kawachagua kuwatetea wakati kuna legislatures ambao wametuliwa na wananchi. T

Tatizo watu hawaelewi tofauti ya direct actions na persive actions, unaweza kuona watu wanajadili vitu lakini hawana impact on the governmnet hila serikali hipo open to ideas kama unaweza jiendesha mwenyewe na ku-survive sawa. Lakini hata huyo 'Marvin King' can not directly influence politicians, Brown alikopa sana despite his disapproval, leo conservative wanalipa based on their election promises.

Hapo bado ujaingia kwenye technicals zingine za hiyo tax ni kwanini bora kulipa wengine wapate tabu kidogo, kuliko kuongeza tax hili kulipa bila kuweka changes. Jamani tupekuwe bila kuropokaga mnatufanya wengine tuonekana kutaka tunajifanya tunajua on simple arguments tu hizi.

Hayo mambo mengine wengine wanayo pendekeza ya kutoa wakuu wa mikoa na nini wala sita yaingilia, ni sawa na mtu alie suggest kwenye thread moja sijui tuwe na 'senate' au 'congress', bila ya kuangalia the manner why those houses were necessary in those political states zenye 'federal legislature'.

Kingine what would be the purpose in a country like TZ, that has a 'Unitary legislature' na hii mifumo yenye kuleta mabadiliko itafanya kazi vipi? na ita serve vipi democracy and the separations of power. Hii mifumo hipo for the sake of democracy na si kujiamulia tu, its what serves them best.

Inakuwa tabu kama jumba la great thinkers limejaa wavivu wa kupekua vitabu (no pun intended). Hatuko kufikiria sisi na mawazo yetu binafsi unapotoa suggestion politically always base ya argument on the people uongozi au viongozi ni dhamana tu na si kukurupuka.

Embu tuwe na uwezo wa kutoa uchambuzi ambao hupo justified na kuacha kupenda kujipa hope za kijinga jinga kwa sentence moja (wengine tunaona ni ufinyu wa kujiulezea na kutoa arguments). Watu wanaotoa mawazo bila ya kutafakari kwangu inaanza kuchosha sasa au kutoa hoja dhaifu ambazo azina maana na kugongeana senksi za ku supportiana upuuzi mtu, amegoogle unaona au umesikia hili 'hoo' na sisi tuwe navyo.

Si ajabu no more than three members in JF can change the whole debate on serious threads wakianza ku-synchronize their movements wanapokua na agenda zao only known to them, nimewakubali.
 
Juma naona umepinga hoja nzuri ya mh na kuanza kuponda mawazo ya mwenzako!labda ni stress za kubeba box hizo...anyway. I like the idea. Hicho chama kinaweza kisiwe na nguvu ya 'kuibabaisha' serikali, but it can start with awareness. Kwani kuna shida gani kuanzisha Chama kitakachokuwa na players pamoja na experts katika haya mambo ya uchumi kuweza kutoa michango mizuri katika related issues? Kwa mfano, leo bunge limetoa mswaada wa sheria fulani (maybe mining tax). Je ni mbaya kwa hicho chama kutoa expert opinion yake juu ya huo mswada wa sheria? And as time goes, and it earns its crediability, wanaweza kuchapisha vitabu/pamphlets on current law in certain fields. Kinaweza kuwa a kind of information centre kwa walipaji kodi kwa ujumla. From there, it can move to have more impact in the govt policies na kuhakikisha govt inakuwa na ufanisi zaidi katika utendaji. its that simple. Mimi sioni hata ya kupiga kelele juu ya UK na system nk. We work with ours and try to improve it!
Mkuu...hope u are trully considering this. Get a few like minds together and see where u can begin. You can begin with simple objectives, kama kutoa copies za yearly govt expenditures zilizopitiwa na experts. Then you move on from there!
 
Back
Top Bottom