King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Kama walivokua wanawafanyia akina mdee kipindi kileKumbuka time doesn't run against the government kwenye criminal changes pia defective charge haizuii mtuhumiwa kukamatwa tena.
Anaweza kuwa acquitted then hapohapo anakamatwa Tena ikiletwa charge sheet mpya.
So worry out.