Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Now you understand your logic!Kaza kijambio endelea kufikiri
Now you understand your logic!Kaza kijambio endelea kufikiri
Uone nn kastaafu huyo.Inapendeza ngoja tuone
Mmh kwenye mfereji wa DAWASKO (Maji taka)Logic yako pengine iko kati ya miguu yako, kwa nyuma.
Baba Mtakatifu Papa Rugambwa1. Kashfa zimeanza eti mwafrika ni nyani T
Tu.
2. Wengine, eti hata ukatoliki wenyewe tunababia tu. Mfano Askofu/Padri ana watoto kwenye NDOA za watu kila parokia! Mmh
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
WAROMA WANA SIRI KUBWA KATIKA UCHAGUZI WAO ILA KILA LA KHERI akichaguliwa ametuwakilisha wote watanzaniaProtase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Natamani nichaguliwe mimianaweza kutajwa kadinali yeyote yule duniani,
but ni vizuri ikafahamika wazi kwamba,
uchaguzi wa Papa ni clashes of visions and battle of soul miongoni mwa makadinali zaidi ya 130 ambao hukutana kwenye cadinal callege huko rome na kuchagua moja wao awe papa,
hakuna kupendekezana au kupigiana kampeni ispokua baada ya maombi ni kupigiana kura tu kadiri roho mtakatifu atakavyomuelekeza kila kadinali![]()
Hawa hapa, kwa mujibu wa wataalam wa mambo ya Vatican na BBC
1. Pietro Parolin
Nationality: Italian
Age: 70,
2. Luis Antonio Gokim Tagle
Nationality: Filipino
Age: 67
3. Fridolin Ambongo Besungu
Nationality: Congolese
Age: 65
4. Peter Kodwo Appiah Turkson
Nationality: Ghanaian
Age: 76
Kanisa Katoliki siyo la kufanyia betting, utaachwa solemba na maupumbavu yako!Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.