kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Si ni Bishop wa huko Tabora au?Ni bishop wa jimbo gani? Kuna Cardinals ambao siyo bishops hivyo hawaingii kwenye conclave. Najua kuwa pengo alikuwa anaingia kwenye Conclave
Si ni Bishop wa huko Tabora au?Ni bishop wa jimbo gani? Kuna Cardinals ambao siyo bishops hivyo hawaingii kwenye conclave. Najua kuwa pengo alikuwa anaingia kwenye Conclave
Kama kumrithi Papa wa baharini, sawaProtase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Sijui; ndiyo maana nimeuliza.Si ni Bishop wa huko Tabora au?
Kufikia mwaka elfu mbili na kumi na ngapi vile!!!!Tunataka Bukoba iwe kama Dubai!!
Kama sokwemtu kateuliwa sijui kwenye kuwa kiongozi wa mabunge kimataifa unashangaa nini binadamu mswahili kuwa papa ? Je sokwe na binadamu yupi boraMswahili ateuliwe Papa?
Subutu….!
We kweli kitunguu,Protase amekaa Vatican miaka mingi kwenye idara nyeti ya uinjilishaji duniani af unasema who knows him,we kapande ndege bila passport maana ndo zenuFat chance!
Nitashangaa wakimchagua some low profile bubu na kiziwi whom nobody has ever heard of.
Hizi nafasi za kidunia ni za kisiasa, ki aidiolojia.
Wazungu huwa hawachagui jitu hawajawahi kulisikia lina misimamo gani, lina fikiri nini, limefanya nini, and so forth. Sio jitu lolote tu kama uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu wa Nishati. Nobody knows why him.
Rugambwa has no chance in hell. Yule Askofu anaezunguka na mikutano ya CHADEMA, the skinny one or the fat one, has more chance than this Rugambwa guy. God knows what this guy is thinking. Assuming he ever does.
Acha kumharibiaProtase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Umeelezea hisia hujajibu hoja!Kama sokwemtu kateuliwa sijui kwenye kuwa kiongozi wa mabunge kimataifa unashangaa nini binadamu mswahili kuwa papa ? Je sokwe na binadamu yupi bora
Tumia akili na logic utajua nimesha jibu hoja zaidi ya 100 kwenye ilo jibu moja nililo kupa.hisia hujajibu hoja!
Tumsifu Yesu KristuProtase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Logic yako pengine iko kati ya miguu yako, kwa nyuma.Tumia akili na logic utajua nimesha jibu hoja zaidi ya 100 kwenye ilo jibu moja nililo kupa.
Kaza kijambio endelea kufikiriLogic yako pengine iko kati ya miguu yako, kwa nyuma.