Tetesi: Protase Kardinali Rugambwa atajwa kumrithi Papa Francis

1. Kashfa zimeanza eti mwafrika ni nyani T
Tu.

2. Wengine, eti hata ukatoliki wenyewe tunababia tu. Mfano Askofu/Padri ana watoto kwenye NDOA za watu kila parokia! Mmh
 

Ndoto za alinacha!

Kwenye Conclave ya huko Vatican hakuna 'Jecha wa kuweza kupindua matokeo ya Uchaguzi wa Papa' na kisha kumtangaza huyo Kardinali Rugambwa kuwa Mshindi wa Kiti Cha Upapa.
 
WAROMA WANA SIRI KUBWA KATIKA UCHAGUZI WAO ILA KILA LA KHERI akichaguliwa ametuwakilisha wote watanzania
 
Natamani nichaguliwe mimi
 

Huyo Na.1 ndiye ambaye anaonekana kuwa anapewa nafasi kubwa zaidi ya kuibuka Mshindi.
Kwa Sasa, Haupo Uwezekano wa kumpata Papa Mwafrika Mweusi kutoka barani Afrika, uwezekano huo haupo kabisa.
 
Kanisa Katoliki siyo la kufanyia betting, utaachwa solemba na maupumbavu yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…