Hili swala kama ulivyolileta hapa upo sahihi kabisa, je kama tunaleta soko huria la bidhaa tuko tayari kuwasaidia vijana waweze kupambana kwenye soko la ajira hata huko nje ya nchi ambako kuna uzalishaji mkubwa badala ya kuishia kuwa wachuuzi wa bidhaa zinazotoka nje? au tufanye badala ya kuruhusu bidhaa tuyaite makampuni yaje kuwekeza hapa hapa nchini ili vijana wetu wapate ajira..