Wewe umemwelewa vipi?Naona haujamwelewa mtoa mada, au unapindisha makusudi.
elezea wewe babuKuna kitu kinaitwa dumping kwenye uchumi ungeweza kukizungumzia alongside protectionism hapo ungebalance mzani wa huu uzi
Mkuu, kwani haya uliyoandika hapa mimi nimeyakataa kwenye andiko langu?Protectionism inaleta uzembe, ubwana na umwinyi. Lazima turuhusu ushindani! Viwanda vyetu viwe flexible kuwekeza katika teknolojia. Tuweke sera nzuri za uwekezaji ili wenye mitaji wapate hamasa ya kuja kuwekeza kwa kuweka viwanda nchini. Hamuwezi kuendelea kwa kujifungia ndani na kuumiza wananchi huku wachache wakinufaika, ni upuuzi.
Wawekezaji wa ndani wanaotaka ku upgrade teknolojia ya viwanda vyao, sera iwe rafiki kwao, mitambo na vipuli vya viwanda visitozwe kodi ili kuruhusu uwekezaji zaidi, kodi tutapata kutokana ajira viwandani, mauzo ya bidhaa n.k . Kikubwa ni kuwa wenye viwanda wengi hapa tz wanataka kupata faida tu, they don't invest in technological advancements
Nitarudia nikipata nafasi; lakini sidhani kuwa nitakuwa mbali sana na hapo nilipolenga.Hebu mkuu rudia kusoma bandiko halafu comment tena. Labda this time around utakuja na fikra tofauti
Sikubaliani na huo mstari wako wa mwisho kwa sababu huo ni upotoshaji. Viwanda kutofanikiwa wakati huo kunatokana na sabau nyingi na wala siyo sababu hiyo inayosisitizwa kila mara.We hujaelewa, kasema wenye viwanda wajiongeze na wao kuzalisha bidhaa kwa ufanisi. Maana sukari hiyo ya Brazil inalipiwa kodi kibao na gharama za usafiri lakini inakuwa bei rahisi kuliko ya hapa.
Kipindi cha Nyerere hiyo protectionism ilisaidia nini zaidi ya kuharibu zaidi uchumi wa nchi?
Free competition ni kwa afya ya mlaji sikuzote... protectionism inawavimbisha kichwa producers wa ndaniHata kwa maendeleo pia. Leo tungesema TTCl wabaki peke yao ili kulinda makampuni yetu sijui hali ingekuwaje? sitaki kuwaza.