Protesters block roads at Namanga over repatriation

Hivi lini EA Federation itakuja tufute huu mpaka wa kufikirika uliopo. Maana haileti tija yoyote kumzuia Mjaluo mwenye familia huku na huku, Mkurya, Mmasai, Mdigo kuvuka mpaka. Kule uchagani maisha yaliboreka wakati Tanzania hali ni Mbaya ni kwakuwa Vijana walichungulia fursa Nairobi.
 
Bila Tanzania undugu mngeutolea wapi!!!!....

afadhali watanzania tunawapa "A COMMON ENEMY " wa kumdharau,kumtusi na kujiona mpo wamoja lakini ukweli ni kuwa wakenya hamkuwahi na hamtowahi kuwa wamoja kama hamtoacha dharau, ujuaji na kujiona watu mliokamilika na kujiona standard ya mataifa mengine....

Usimkataze mtu kutoa maoni yake kwa sababu anaonekana hayupo biased na wala hana upofu wa patriotism....

Sikiafiki kitendo cha kuwaondoa watu walioishi miaka mingi kama watanzania kwa kuwa watanzania wengi wa mipakani huwa na asili za mataifa mbalimbali lakini je, ni wakenya wangapi ambao huishi Tanzania kama wakenya huku wakitumia rasilimali za Tanzania kama watanzania?????......

tatizo jingine wakenya huwa mnajiona ni Think tank wa EA kama wakikuyu wajionavyo kwenu ilhali tunajua kuwa hamna impact kwa nchi yetu..
Remove your arrogance kijana coz the world doesnt revolve around kenya...
 
Siamini kama ni wewe ambaye unauongea undugu kama kitu muhimu kwa nchi zetu ilhali huwa unaitusi Tanzania kwa kuundekeza undugu na kusahau biashara....

Kenya ni capitalist nation hivyo,haiwezi kuwa na permanent friend or enemy but only the permanent interests......
 

Hamna sehemu nimejipendekeza kwa yeyote, iwe Wakenya au Watanzania, ninasimamia haki. Kitendo cha raia Wakenya kuwavamia na kuwafurusha Watanzania wanaofanya biashara hapo Namanga hakikua sawa na hamna siku naweza kubaliana na tabia kama hizo.

Tusiendekeze chuki, kumbuka kuna Wakenya wengi wamewekeza Tanzania, usiendeshwe na mihemko bila kutafakari. Nimekutana na Wakenya wengi mikoa mbali mbali ya Tanzania wakifanya biashara na ujasiria mali, na pia nimekutana na Watanzania upande wa Kenya, wengi tu. Hivyo tukianza kutunishiana misuli bila kutumia akili, tutapoteza wote.
 
Xenophobia is largely accepted and tolerated in Tanzania and the Kenyan government has done very little to protect Kenyans.
 

Hamna siku nimetukana nchi yeyote ile, tatizo hamjazoea kuambiwa ukweli. Mkiambiwa mnaona mnatukanwa, huku Kenya tumezoea kuambiana ukweli bila kumumunya maneno. Nimesema na nitalisema siku zote, kwamba Watanzania wavivu, wengi wenu wazembe, nchi mnayo kubwa yenye raslimali za kila aina, amani mnayo, madini mnayo zaidi ya karibia nchi zote Afrika, ardhi yenye rotuba tena kubwa, kwanza nchi yenu ni muungano wa nchi mbili, lakini kutwa umaskini. huo ni ukweli usiofichika, mtakerwa na kuona kama mnatukanwa, lakini ndivyo ilivyo.

Undugu baina yetu upo, Wakenya tunajua sana masuala ya undugu, lakini ikija biashara, tunaweka undugu mbali na kuangazia maslahi. Tunanuniana na kuwa makini kwenye vikao, hamna cha kucheka cheka na kuitana kaka, hadi biashara iishe, hapo baadaye ndio tunarejelea mambo ya undugu kwenye kahawa au kinywaji.
 
Our security is paramount!! Usalama kwanza mambo mengine yatafuata
 
Ukishauweka undugu pembeni bhasi huo sio undugu bali ni mbinu mtu unayoitumia kumlainisha yule anaeuthamini undugu kwa interest zako binafsi

Watanzania ni wazembe,wavivu,wachawi, walozi,mbumbumbu,barbaric,wasio na stara,hawajui lolote

Lakini kwako kufanikiwa na pia maendeleo kwako yana maana gani maana maendeleo ni suala pana na halina maana moja dunia nzima hivyo. Kitufaacho si lazima kiwafae...
wasukuma huona idadi ya ng'ombe ndio maendeleo na mafanikio, wahaya huona kiwango cha elimu na nyadhifa kazini kama kufanikiwa,wachagga huona biashara kuwa ni mafanikio ambayo ndio kama wakenya na ndio maana mnawahusudu..

nikuulize wewe ambae unaona Mkenya si wa kumuhitaji Mtanzania.....
hivi katika nchi zilizowazunguka ni ipi ambayo hamna conflict kubwa nayo????......

hivi leo miji yenu mikubwa yote ipo kanda ya kusini ambapo hupakana na Tanzania, kwa mfano huko Kenya pakichafuka unadhani mtakimbilia Uganda,somalia,sudan ya kusini ama Ethiopia??????.....

hivi leo tukiwafukuza wakenya na ninyi mfukuze watanzania na tuamue kufunga mipaka..ni nani atakaeathirika zaidi?????......

Halafu wewe ni mzazi lakini unashindwa kujua kuwa unachokiongea si tatizo bali unavyokiwasilisha kwa mtu...
mtoto wako ndio taifa la kesho kwa Kenya je, ni taifa gani la watu mnalolitengeneza kama wao adabu hawajui ila wanachojua ni kutafuta pesa tuu????.....

jiulize kwa makini, dunia haishii katika utafutaji wa pesa kuna ya ziada brother
 
Uchaguzi huu lazma mchinjane kwa jinsi mlivyo na mihemuko ya kuona mnaonewa kwa sababu tu ya kuachiwa kukaa miaka mingi isivyo halali nchi jirani hapo mwanzoni na jinsi magazeti yenu yanavyopandikiza chuki yakiongozwa na Star.
 
hivi huyu Magu ana shida gani na Wakenya? si tunao wasomali south sudanese, rwandese nchini ambao wanakuja kutumia rasilimali za wakenya ila hatuna shida....from what i can tell, Wakenya waliopo TZ sio refugees...majority ni wafanyibiashara...hivi hawa watanzania wana nini?
 
Uchaguzi huu lazma mchinjane kwa jinsi mlivyo na mihemuko ya kuona mnaonewa kwa sababu tu ya kuachiwa kukaa miaka mingi isivyo halali nchi jirani hapo mwanzoni na jinsi magazeti yenu yanavyopandikiza chuki yakiongozwa na Star.
wewe huwezi ukaongea jambo la busara hata siku moja?
 
wewe huwezi ukaongea jambo la busara hata siku moja?
Nitakukumbusha hapahapa jinsi magazeti yanavyo-stock hatred a paying back time is around the corner. Hapa wote mnatetea Wakenya wanaoishi illegal Tanzania kisa ati kuna Watanzania Kenya wakati Magufuli alitoa go ahead ya kuwafukuza!
 
Nitakukumbusha hapahapa jinsi magazeti yanavyo-stock hatred a paying back time is around the corner. Hapa wote mnatetea Wakenya wanaoishi illegal Tanzania kisa ati kuna Watanzania Kenya wakati Magufuli alitoa go ahead ya kuwafukuza!
ni kweli unayoyasema...wakenya hawana excuse for living in a foreign country illegally...however, how does this have to do with election violence which i believe you are supporting and praying that ppl kill each othr?.....
 
ni kweli unayoyasema...wakenya hawana excuse for living in a foreign country illegally...however, how does this have to do with election violence which i believe you are supporting and praying that ppl kill each othr?.....
Kwavile magazeti yenu yana attitude ya instigation wanasema ati mko harassed in Tanzania wakati inajulikana wazi those without permits. This same anger n vandalism demonstrated by stupid Kenyans in Namanga will repeat around Kenya, count my words. Museveni na Kagame si Wajinga...
 
hehe....Kagame and Museveni??? i dont get you....what do they have to do with this discussion? from what i can see its namanga TZ and Kenya border...ama ur trying to insuniuate that when kenya goes into election violence, Kagame and M7 will dump kenya for tanzania in many of their projects...including the SGR? plz enlighten me
 

Hilo la kuweka undugu pembeni wakati wa biashara lipo dunia yote na halifanywi na Wakenya tu, na hata kuna Watanzania wameamka siku hizi wanalifahamu na kulifanya. Miaka ya kuchekeana na kuitana kaka wakati wa negotiations na kibiashara uliisha. Nipe nikupe, maslahi mbele kwa mbele, halafu tukimaliza na kuelewana kibiashara kuanzia hapo tucheke na kuongea mambo ya kawaida kama misimu ya mvua n.k.

Hamna sehemu nimesema hatuwahitaji Watanzania, naona upo busy sana kuniwekea maneno. Sote tunahitajiana, kwa kila kitu, tupo majirani ambao tunaongea lugha moja. Mimi binafsi nimefanya ujasiria huko kwenu, na nimewaona Wakenya wengi pia wakiwekeza, na pia kuna Watanzania Kenya ambao wanafanya yao. Hata jirani yangu hapa ana apartments za kupangisha ni Mtanzania.

Kenya tunategemeana sana na Uganda na Tanzania, ila Kenya ilipochafuka kipindi fulani, Wakenya wengi walienda Uganda maana wale kuna jinsi tunahusiana nao bila unafiki. Tatizo kubwa la Tanzania mlikaririshwa na Nyerere mambo mengi dhidi ya Wakenya hivyo panakua na kutoaminiana sana kwenye kila kitu.
 
If referendums were held today to go for federation I would be the first person to vote No. do you think that federation would be an option the answer is NO.why there is little trust between governments. According to what Tanzania is doing it will reach a time when Kenya and Kenyans will retaliate at equal measure ,and when that time comes you guys don't complain because its you who started it.
 
Sawa ila time will tell

ila hata bila ya nyerere... maisha ya wakenya na watanzania ni tofauti na hilo lazma lipelekee mitazamo tofauti

Waganda ni ndugu zenu wa kweli kwa kuwa sio mahasimu wenu kiuchumi katika kanda hii na kama unavyojua..utapendwa hadi pale utakapokuwa tishio... huo ni ukweli mweupe
 
Lazima mseme hapana, maana mlilitaka sana mwanzoni mkijua Tanzania itakuwa Shamba la Bibi lakini mlipoona swala la Ardhi gumu sasa NO. Ila kiukweli Kenya inaihitaji Tanzania kuliko kinyume chake.
 
Lazima mseme hapana, maana mlilitaka sana mwanzoni mkijua Tanzania itakuwa Shamba la Bibi lakini mlipoona swala la Ardhi gumu sasa NO. Ila kiukweli Kenya inaihitaji Tanzania kuliko kinyume chake.
hehe kenya haihitaji tanzania kwa chochote...sema tu biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…