Protesters block roads at Namanga over repatriation

Protesters block roads at Namanga over repatriation

Mnatusaidia nn nyie makupe watu wenye husuda nasi! Nani anawataka? Si mlianza kutubagua na COW? Jamaa analipa...
Mimi sio mkenya wala sina asili ya huko, nimeuliza lini wanyarwanda wamepanguliwa au ni mkuu ana chuki na wakenya?
 
Haikuhusu nenda kachambe ulale hutupangii nani wa kuruhusu nani kukaa. Tanzania ni nchi ya Watanzania na wana maamuzi yao! Na si nyang'au ang'ang'anie
mbaki na tanzania yenu...kwani ni Canada...Magu anajiona sana huyo dictator...mpumbavu mkubwa...naskia juzi nay wa mitego amekamatwa na polisi kwa ajili ya kumponda magu kwa njia ya mziki
 
Kuheshimu mipaka ya mkoloni hadi leo 2017 ndio kilele cha upumbavu wa mwaafrika.Upumbavu tu hamna jengine.
 
nawasubiri hawa madaktari kutoka tz waje...........mbona nchini kwenu hamwataki ata wenye kuolewa kihalali!!! serikali ya kenya na kimbelembele chake kisiasa wanakimbilia mtu hana haja nawe!! waje tu sisi ndio tutapatana nao huku mitaani tu!!
 
Two neighbors who were rather dense
Considered that their mutual fence
Were more symbolic of their peace
(Which they maintained should never
cease)
If each about his home and garden
Setup a more substantial warden
Quickly they cleared away the fence
To build a wall at great expense
And soon their little plots of ground
Were barricaded all around
Yet still they added stone to stone
As if they would never be done
For when one neighbor seemed to tire
The other shouted; Higher! Higher!
Thus, day by day, in their unease
They built their battlements of peace
Whose shadows like a gathering blot
Darkened one in neglected plot
Until the ground so overcast
Became a rank and weedy waste
Now in their obsession, they uprear
Jealous and proud, and full of fear
And lest they halt for lack of stone
They pull their dwelling houses down
At last by their insane excess,
Their rampart guard a wilderness
And hate arousing out of shame
Flares up into a wondrous flame
They curse they strike, they break the wall,
Which buries them beneath its fall
 
Kwamba nilianza vizuri na kumaliza vibaya, hayo ni maoni yako, mimi ninaandika kilicho moyoni mwangu bila nia ya kumfurahisha au kumkweza yeyote. Lazima mjifunze kuvumilia kauli za wenzenu hata kama zinakinzana na unacho amini, na ndio maana leo hii huko kwenu mnafukuza waziri kwa bastola na kukamata wasanii kama akina Nay maana hamtaki kuvumilia kuskliza kauli pinzani na imani zenu.

Kwa nchi iliyo na chembechembe za chuki dhidi ya wageni, lazima uhakikishe unawalinda watoto wako hata kama wana uraia. Wayahudi walikua na uraia wa Ujerumani wakati Hitler ana wasaka, Wahindi walikua na uraia wa Uganda wakati Amin anawafanyia unyama, mifano ipo mingi tu. Hivyo ukibarikiwa kupata mtoto baada ya ndoa na mwanamke kwenye nchi ya kihivyo, hakikisha mwanao umemrejesha kwenu, tena akiwa bado mdogo, malezi, dini, itikadi, elimu na kila kitu zifanyie kwenu na atakushukuru sana katika ukubwa wake wakati vurugu za ubaguzi zinaanza.

Leo hii kulingana na hizi taarifa hapa, mtu alizaliwa Tanzania hata kabla nchi haijapata uhuru, mnamfurusha kwamba aende kwao ghafla, tena kwa kushtukiza, jameni kwao wapi. Haya ndio yanatokea kule Afrika Kusini, japo kule yanafanywa na raia wenye chuki na sio serikali.

Sijui kama ipo siku mtakuja elewa kwamba Kenya ndio ndugu zenu wa karibu, kama nilivyosema awali, tuna mpaka mrefu baina yetu, tunaongea lugha moja, tuna makabila ambayo yana ndugu pande zote mbili. Wazungu wakati wanagawana Afrika kama shamba la bibi, walikuja wakachora mpaka baina ya Wajaluo, Wakuria, Wadigo, Wamaasai n.k. na kuwaambia wa huku waitwe Wakenya na wa kule waitwe Watanzania, unakuta mtu ana mjomba upande wa pili na shangazi upande wa huku.

Mimi hapa Mkikuyu, najaribu kuwaza jinsi ningekua namwona Mkikuyu wa Tanzania upande wa pili kisa mzungu kachora mpaka baina yetu. Anyway tuliyakuta, na itabidi tuishi yalivyo kimya bila sauti au nia ya kuyabadilisha. Lakini naomba sana Kenya isije kujitoa ufahamu na kuwafurusha ndugu zetu Watanzania waliojaa huku kwa maelfu, itaniuma balaa japo sitakua na uwezo wala cha kufanya kuzuia.
Sijaona tofauti ya ulichokiandika na nilichokiandika, siku zote mawazo yenye hekima kuu hupingwa, ni ubinadamu wetu huu. Nilichokupinga ni suluhisho tu ulilolitoa. Kwamba tuishi kwa kujihami ktk mataifa yetu, kwanza hofu tu ni chanzo kikuu cha maafa.

Nimekwambia hadi sasa hakuna taifa kamili, liitwalo Kenya wala Tanzania nje ya sheria na mipaka na majeshi, dola. Yote ndo kwanza yanajenga misingi yake, nyumba bado kabisa.

Kuna mengi yanayoendelea ktk mataifa haya yanayohatarisha huu utaifa. Tanzania, kuna udini, ukanda, bara na visiwa vyake nk.

Wenye hekima walishayaona haya tangu miaka ya 60, wakahitaji utaifa wa kiafrika. Taifa moja la Afrika. Tutawafukuza wakenya, tukimaliza, wamalawi, wakongo nk. Tukishawamaliza, tutajiuliza kwani sisi ni wamoja? Jibu ni hapana, tutafukuzana wenyewe, JK Nyerere.
 
Something there is that doesn't love a wall,
That sends the frozen-ground-swell under it,
And spills the upper boulders in the sun;
And makes gaps even two can pass abreast.
The work of hunters is another thing:
I have come after them and made repair
Where they have left not one stone on a stone,
But they would have the rabbit out of hiding,
To please the yelping dogs. The gaps I mean,
No one has seen them made or heard them
made,
But at spring mending-time we find them there.
I let my neighbour know beyond the hill;
And on a day we meet to walk the line
And set the wall between us once again.
We keep the wall between us as we go.
To each the boulders that have fallen to each.
And some are loaves and some so nearly balls
We have to use a spell to make them balance:
"Stay where you are until our backs are turned!"
We wear our fingers rough with handling them.
Oh, just another kind of out-door game,
One on a side. It comes to little more:
There where it is we do not need the wall:
He is all pine and I am apple orchard.
My apple trees will never get across
And eat the cones under his pines, I tell him.
He only says, "Good fences make good
neighbours."
Spring is the mischief in me, and I wonder
If I could put a notion in his head:
"Why do they make good neighbours? Isn't it
Where there are cows? But here there are no
cows.
Before I built a wall I'd ask to know
What I was walling in or walling out,
And to whom I was like to give offence.
Something there is that doesn't love a wall,
That wants it down." I could say "Elves" to him,
But it's not elves exactly, and I'd rather
He said it for himself. I see him there
Bringing a stone grasped firmly by the top
In each hand, like an old-stone savage armed.
He moves in darkness as it seems to me,
Not of woods only and the shade of trees.
He will not go beyond his father's saying,
And he likes having thought of it so well
He says again, "Good fences make good
neighbours."
 
wewe pia unapenda kujipendekeza kwa watanzania sana ,sasa huungi mkono kitendo cha wakenya sasa watanzania walifanya vizuri tushangilie? ama hakuna watanzania hapa Kenya bila sitakabadi? washawahi fukuzwa?
hakuna mkenya ako interested na kuoa mtanzania labda wewe!! an enemy to any Kenyan is my enemy na hatutabembelezana na hawa takataka ,mavi ya kuku shenzi sana
Huna uwezo wa kuishi bila Tanzania ktk nyanja zooote, hivyo ni busara kumfanya adui usiyemmudu kuwa rafiki hata kwa unafiki tu. Tumia kichwa kufikiri kidogo. Kenya haiwezi kuwa tishio kwa lolote kwa Tanzania. Liwe ni la kiuchumi au kijamii au hata kisiasa.

Kinyume chake Tanzania inaweza ikafanya hayo yote kwa Kenya. Leo Tz inaweza ikaamua nani awe raisi wa Kenya na kinyume chake hakiwezekani, usijifiche kwenye kichaka cha kujitambua hapo, hamna lolote.
 
Tanzanians can live without Kenyans and vice versa but such issues are not forgotten. If i was in power i would allow the Tanzanians already in Kenya to work in peace but allow no more.
 
Wapo, ila imetokea tu tukakutana, ndiyo maisha yalivyo hivyo!
NitaKupa wasia kiasi ni vema utafute msichana wa kwenu ili msije kuleta madhara katika pande zote mbili. kwa mfano mikipata mtoto huyo mtoto hatakubaliwa na Tanzania kuwa ni mtanzania watasema ana damu ya kikenya aende Kenya na Kenya pia haitakua tayari kukupokea wewe ili umtunze mtoto wako kwa hivo ni vema upate msichana wa kwenu
 
Huna uwezo wa kuishi bila Tanzania ktk nyanja zooote, hivyo ni busara kumfanya adui usiyemmudu kuwa rafiki hata kwa unafiki tu. Tumia kichwa kufikiri kidogo. Kenya haiwezi kuwa tishio kwa lolote kwa Tanzania. Liwe ni la kiuchumi au kijamii au hata kisiasa.

Kinyume chake Tanzania inaweza ikafanya hayo yote kwa Kenya. Leo Tz inaweza ikaamua nani awe raisi wa Kenya na kinyume chake hakiwezekani, usijifiche kwenye kichaka cha kujitambua hapo, hamna lolote.
Acha nikukumbushe la historia kidogo........kuna wakati uhusiano kati ya Kenya na Tanzania ilikuwa mbaya, hatukuwa tunategemyana kwa lolote, lakini uchumi wa Kenya iliendelea vizuri kushinda ya Tz. Tuliwategemea kwa lipi?

Ati halafu Tanzania inaweza kuamua nani awe rais wa Kenya.....how? See the dolt!
 
Tanzania faced the same trouble in msumbiji, so now z time to revenge!
 
Lkn mtafiti05, u are targeting the wrong pipo. Kenyans have nothing to do with the Tanzanians' tribulations in Mozambique, SA or eve Malawi, and Kenya doesnt persecute the Tanzanian residents here. If your intention is revenge, then it's very misguided.
 
wakenya mnazidi kumpa maumivu ya kichwa magufuli, tafadhali muoneneeni huruma.
 
Tanzanians can live without Kenyans and vice versa but such issues are not forgotten. If i was in power i would allow the Tanzanians already in Kenya to work in peace but allow no more.
Tujaribu kufunga mpaka tuone nani atalia zaidi? Bolongoja gate imekuwa wimbo wa Taifa wa Kenya mpaka kujitoa ufahamu wa ku-block vans. Thank u anyway since by 2018 a newly expanded modern airport will be open at KIA with a larger cargo Terminal meaning MORE direct flights n bypassing JKIA. [emoji3]
 
Tujaribu kufunga mpaka tuone nani atalia zaidi? Bolongoja gate imekuwa wimbo wa Taifa wa Kenya mpaka kujitoa ufahamu wa ku-block vans. Thank u anyway since by 2018 a newly expanded modern airport will be open at KIA with a larger cargo Terminal meaning MORE direct flights n bypassing JKIA. [emoji3]
Enyewe umeongea kama wendawazimu 20 akili zao zikiwekwa pamoja...
 
Back
Top Bottom