Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Mnatusaidia nn nyie makupe watu wenye husuda nasi! Nani anawataka? Si mlianza kutubagua na COW? Jamaa analipa...Wamepanguliwa lini? mbona hakuna taarifa! aache chuki na wakenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatusaidia nn nyie makupe watu wenye husuda nasi! Nani anawataka? Si mlianza kutubagua na COW? Jamaa analipa...Wamepanguliwa lini? mbona hakuna taarifa! aache chuki na wakenya.
Mimi sio mkenya wala sina asili ya huko, nimeuliza lini wanyarwanda wamepanguliwa au ni mkuu ana chuki na wakenya?Mnatusaidia nn nyie makupe watu wenye husuda nasi! Nani anawataka? Si mlianza kutubagua na COW? Jamaa analipa...
Haikuhusu nenda kachambe ulale hutupangii nani wa kuruhusu nani kukaa. Tanzania ni nchi ya Watanzania na wana maamuzi yao! Na si nyang'au ang'ang'anieMimi sio mkenya wala sina asili ya huko, nimeuliza lini wanyarwanda wamepanguliwa au ni mkuu ana chuki na wakenya?
mbaki na tanzania yenu...kwani ni Canada...Magu anajiona sana huyo dictator...mpumbavu mkubwa...naskia juzi nay wa mitego amekamatwa na polisi kwa ajili ya kumponda magu kwa njia ya mzikiHaikuhusu nenda kachambe ulale hutupangii nani wa kuruhusu nani kukaa. Tanzania ni nchi ya Watanzania na wana maamuzi yao! Na si nyang'au ang'ang'anie
Sijaona tofauti ya ulichokiandika na nilichokiandika, siku zote mawazo yenye hekima kuu hupingwa, ni ubinadamu wetu huu. Nilichokupinga ni suluhisho tu ulilolitoa. Kwamba tuishi kwa kujihami ktk mataifa yetu, kwanza hofu tu ni chanzo kikuu cha maafa.Kwamba nilianza vizuri na kumaliza vibaya, hayo ni maoni yako, mimi ninaandika kilicho moyoni mwangu bila nia ya kumfurahisha au kumkweza yeyote. Lazima mjifunze kuvumilia kauli za wenzenu hata kama zinakinzana na unacho amini, na ndio maana leo hii huko kwenu mnafukuza waziri kwa bastola na kukamata wasanii kama akina Nay maana hamtaki kuvumilia kuskliza kauli pinzani na imani zenu.
Kwa nchi iliyo na chembechembe za chuki dhidi ya wageni, lazima uhakikishe unawalinda watoto wako hata kama wana uraia. Wayahudi walikua na uraia wa Ujerumani wakati Hitler ana wasaka, Wahindi walikua na uraia wa Uganda wakati Amin anawafanyia unyama, mifano ipo mingi tu. Hivyo ukibarikiwa kupata mtoto baada ya ndoa na mwanamke kwenye nchi ya kihivyo, hakikisha mwanao umemrejesha kwenu, tena akiwa bado mdogo, malezi, dini, itikadi, elimu na kila kitu zifanyie kwenu na atakushukuru sana katika ukubwa wake wakati vurugu za ubaguzi zinaanza.
Leo hii kulingana na hizi taarifa hapa, mtu alizaliwa Tanzania hata kabla nchi haijapata uhuru, mnamfurusha kwamba aende kwao ghafla, tena kwa kushtukiza, jameni kwao wapi. Haya ndio yanatokea kule Afrika Kusini, japo kule yanafanywa na raia wenye chuki na sio serikali.
Sijui kama ipo siku mtakuja elewa kwamba Kenya ndio ndugu zenu wa karibu, kama nilivyosema awali, tuna mpaka mrefu baina yetu, tunaongea lugha moja, tuna makabila ambayo yana ndugu pande zote mbili. Wazungu wakati wanagawana Afrika kama shamba la bibi, walikuja wakachora mpaka baina ya Wajaluo, Wakuria, Wadigo, Wamaasai n.k. na kuwaambia wa huku waitwe Wakenya na wa kule waitwe Watanzania, unakuta mtu ana mjomba upande wa pili na shangazi upande wa huku.
Mimi hapa Mkikuyu, najaribu kuwaza jinsi ningekua namwona Mkikuyu wa Tanzania upande wa pili kisa mzungu kachora mpaka baina yetu. Anyway tuliyakuta, na itabidi tuishi yalivyo kimya bila sauti au nia ya kuyabadilisha. Lakini naomba sana Kenya isije kujitoa ufahamu na kuwafurusha ndugu zetu Watanzania waliojaa huku kwa maelfu, itaniuma balaa japo sitakua na uwezo wala cha kufanya kuzuia.
Huna uwezo wa kuishi bila Tanzania ktk nyanja zooote, hivyo ni busara kumfanya adui usiyemmudu kuwa rafiki hata kwa unafiki tu. Tumia kichwa kufikiri kidogo. Kenya haiwezi kuwa tishio kwa lolote kwa Tanzania. Liwe ni la kiuchumi au kijamii au hata kisiasa.wewe pia unapenda kujipendekeza kwa watanzania sana ,sasa huungi mkono kitendo cha wakenya sasa watanzania walifanya vizuri tushangilie? ama hakuna watanzania hapa Kenya bila sitakabadi? washawahi fukuzwa?
hakuna mkenya ako interested na kuoa mtanzania labda wewe!! an enemy to any Kenyan is my enemy na hatutabembelezana na hawa takataka ,mavi ya kuku shenzi sana
NitaKupa wasia kiasi ni vema utafute msichana wa kwenu ili msije kuleta madhara katika pande zote mbili. kwa mfano mikipata mtoto huyo mtoto hatakubaliwa na Tanzania kuwa ni mtanzania watasema ana damu ya kikenya aende Kenya na Kenya pia haitakua tayari kukupokea wewe ili umtunze mtoto wako kwa hivo ni vema upate msichana wa kwenuWapo, ila imetokea tu tukakutana, ndiyo maisha yalivyo hivyo!
Acha nikukumbushe la historia kidogo........kuna wakati uhusiano kati ya Kenya na Tanzania ilikuwa mbaya, hatukuwa tunategemyana kwa lolote, lakini uchumi wa Kenya iliendelea vizuri kushinda ya Tz. Tuliwategemea kwa lipi?Huna uwezo wa kuishi bila Tanzania ktk nyanja zooote, hivyo ni busara kumfanya adui usiyemmudu kuwa rafiki hata kwa unafiki tu. Tumia kichwa kufikiri kidogo. Kenya haiwezi kuwa tishio kwa lolote kwa Tanzania. Liwe ni la kiuchumi au kijamii au hata kisiasa.
Kinyume chake Tanzania inaweza ikafanya hayo yote kwa Kenya. Leo Tz inaweza ikaamua nani awe raisi wa Kenya na kinyume chake hakiwezekani, usijifiche kwenye kichaka cha kujitambua hapo, hamna lolote.
Tujaribu kufunga mpaka tuone nani atalia zaidi? Bolongoja gate imekuwa wimbo wa Taifa wa Kenya mpaka kujitoa ufahamu wa ku-block vans. Thank u anyway since by 2018 a newly expanded modern airport will be open at KIA with a larger cargo Terminal meaning MORE direct flights n bypassing JKIA. [emoji3]Tanzanians can live without Kenyans and vice versa but such issues are not forgotten. If i was in power i would allow the Tanzanians already in Kenya to work in peace but allow no more.
Enyewe umeongea kama wendawazimu 20 akili zao zikiwekwa pamoja...Tujaribu kufunga mpaka tuone nani atalia zaidi? Bolongoja gate imekuwa wimbo wa Taifa wa Kenya mpaka kujitoa ufahamu wa ku-block vans. Thank u anyway since by 2018 a newly expanded modern airport will be open at KIA with a larger cargo Terminal meaning MORE direct flights n bypassing JKIA. [emoji3]