Protesters block roads at Namanga over repatriation

Kenya inakitu gani ambacho tanzania hakipo na duniani kote hakuna nchi iliyojitosheleza
 
hajakatazwa mkenya kuongea Tanzania ila kufanya kazi ama Biashara bila vibali huu ni Ukoseshaji wa mapato kwa Taifa. Waache wa endelee kujishaua na Magu hawamjui wanafikiria maandamano yatamsimamisha?
Magufuli anasemaje kuhusu wanyarwanda ambao wanaonekana ni wengi kuzidi hata wakenya?
 
Hebu soma tena hiyo makala mkuu @Chasha. You missed the point sir.
 


Mbona unatutukana hivyo ndugu? Hakuna watu wazuri, wapole na wapenda amani kama sisi Watanzania, Tanzania ni mpango wa Mungu, isitoshe girlfriend wangu anatoka Kenya, kila siku nipo huko lkn nina vibali vyote vya kuingia Kenya, na naondoka kabla muda haujaisha!
 

Uganda invaded Kenya and occupied a Kenyan Island and NO UGANDAN HAS EVER BEEN FROG MARCHED TO UGANDA..It looks like We Kenyans fear Uganda and not Tanzania..
 
Hata kama ulizaliwa Tanzania, kuna u taratibuuu wa kuwa Mtanzania zaidi ya bogus journalism
Kwa nn kila anachofanya Magu lazima kiwe adhabu kwa Mtanzania wa kawaida ultimately wakati yeye anahubiri kuwa kimbilio lao?.. Vita dhidi ya wafanya biashara(Sukari Nk ) , uhamiaji,... Siku akishauriwa kufanya wht if analysis etc tutasonga mbele kidogo
 
Mmezoea vya kunyonga. ..
 
Tumefika papaya,sina hakika kama wazee walidai uhuru ili tufanyiane haya tunayofanyiana, nawaasa viongozi wa Tz mkibanwa ndani msitafute adui nje ili mpate kuungwa mkono ndani au muwasahaulishe wa Tz matatizo yenu ya ndani, kwa kuwa kuna madhara makubwa kugombana na ndugu yako
 
girlfriend wako nimkenya kwenu hakuna wasichana warembo? au hawaijui kazi?
 
Mmezoea vya kunyonga. ..
Mshaurini kwa nia nzuri tu, sijui kwa nn na ww unalipwa kwa kodi ya mkulima kama mm. Punguzeni u court jester aka kulamba miguu. Kwa nn kila kitu kina backfire kama kweli watu mnamsaidia?
 
Good job JPM hawa watu hawajawahi kutupenda ni vyema warudi kwao na kila mtu abaki kwake
 
hajakatazwa mkenya kuongea Tanzania ila kufanya kazi ama Biashara bila vibali huu ni Ukoseshaji wa mapato kwa Taifa. Waache wa endelee kujishaua na Magu hawamjui wanafikiria maandamano yatamsimamisha?
Kama hawana vibali warudi kwao na hii iwe kwa raia wote wageni cos sisi tukienda kwao hawatuonei huruma wengine wa Tz wamipigwa na kulalalwa kinguvu msumbiji na south africa na wengine walioenda kusoma india wamepigwa na sisi ni vyema msako kwa raia wote wa kigeni warudi kwao kama hawana vibali
 
Mbona povu linawatoka sana wakenya?, sisi tz hatuna shida na Kenya tunachohitaji kila raia wa kigeni afuate taratibu stahiki za ukaaji na biashara sio waishi kinyemela ndio maana watz waliofukuzwa Msumbiji serikali ilisema warudi kiroho safi maana tuliambia hawakuwa na vibali halali sasa iweje wakenya waishi illegal nchini?

Pia tz ni moja ya soko kubwa la bidhaa za Kenya hivyo ugomvi wowote dhidi ya mataifa haya mawili Kenya ndio itaathirika zaidi kiuchumi kuliko tz cause tz inapakana na mataifa mengi ambayo yako stable kisiasa hivyo rahisi kufanya biashara tofauti na Kenya maana wana somalia, south Sudan ambayo tifu haziishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…