Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Uchumi wa Kenya ulikuwa mzuri? Mwaka upi huo? Ikumbuke vyema historia yenu na ya East Afrika ndugu. Kenya ilikuwa chini ya settler economy wkt Tz ilikuwa ni ya plantation economy, wazijua tofauti ya chumi hizo kwa jamii kiuchumi na kijamii?
1977 EAC inavunjika, unayajua yaliyojili hapo? Yameathirije chumi za mataifa husika haswa Tz na Kenya? Kenya imekuwa kiuchumi huu wa kisasa, zaidi ni enzi za Mwai na wala si Moi, je ktk vipindi hivyo, ni kipi hizi nchi zilikuwa na mahusiano mabovu?
Hivi huwa mnajiuliza, kwanini Watz hawawaamini wakenya? Rudi tena ktk historia. Haswa kuanzia na lile lililokuwa likiitwa EAC. Labda huko hamfundishwi, kwetu ilikuwa ni sehemu ya mtaala mashuleni, kila mtz anayajua vyema yote yaliyojiri.
Kuhusu kumweka raisi, hili liko wazi sana. Kwanza hamko wamoja saana. Lakini pia hiyo ni sifa ya hili taifa kubwa kimkakati na kidiplomasia Afrika. Yatafute yale yaliyowazi na yaliyojificha ktk mikakati mbalimbali ktk tawala mbalimbali za awamu zote Afrika.
Sidhani kama umenielewa vyema zaidi ya kuendeleza chuki zenu za asili ambazo zimetufikisha hapa leo. Tuseme ninyi mlikuwa na mtazamo bora wa kifikra nasi wetu ulikuwa hasi, leo nasi tunaufuata wenu, je haya yanayotokea ni mazao mema ya fikra zenu pevu?1)Kenya attained its independence in 1963. In the run up to independence and shortly after, most of the settlers had left the country. The economy thus largely was under the control of the new African administration but not in the hands of the settlers.
Kenya's economy developed considerably well under the first president Mzee Jomo Kenyatta in the late 60s and in the most of the 70s. Kenya was infact reported by the WB as one of the countries with the highest income per capita relative to the majority of the newly independent countries around the world at the time. The economic bloom did not start with Mr. Mwai kibaki, though admittedly the growth was the highest ever achieved in this country's history, but only by one or two percent more than during the Jomo Kenyatta's period
Africa rising? The economic history of sub-Saharan Africa – International Socialism
Explaining African Economic Growth Performance : The Case of Kenya
2) It was the ideological differences btwn Kenya and tanzania that rendered both countries incapable of working together, which culminated into boundary closures and the eventual collapse of the first EAC. However, FYI, Kenya's economic troubles had little to do with this antagonism with Tanzania and more to do with what was happening on the global scene...the oil crisis of the late 70s which reverberated accross the world.
3)Burundi is a tiny, impoverished country which is hugely reliant on Tanzania for almost everything, but Tanzania was unable to influence the political outcomes in that country. How then can Tanzania possibly influence the politics of a country as huge and complex as Kenya?
U tried that bullshit once in Uganda when it was still a banana republic to a catasrophic effec, nearly 700,000 died. Tinkering with the internal affairs of other countries in that manner is a really bad idea.
4)Nyerereism must have feed into your heads the lies that Kenya's an imperialist stooge country bent on undermining your immaculate socialist republic; and that Kenya had purloined Tanzania's assets in the EAC, the reason for its collapse.
I believe that's what they taught u in school, the damn ujamaa propaganda.
Siungi mkono tabia za hao Wakenya, walichokifanya cha kuwafurusha wanabiashara wa kutokea Tanzania kwa mtindo huo haikua sawa. Ni muhimu sana mamlaka husika hususan hayo maeneo ya mipakani wabuni mikakati ya kuzuia matukio kama hayo.
Lakini pia taarifa hizi hapa kama kweli, zinaonyesha kuwa operesheni zenu za kuwafukuza wageni huwa mnazifanya kwa mihemko bila kuzingatia ubinadamu. Sasa mtu ameishi Tanzania tangu hata kabla hamjapata uhuru, leo unamfurusha na kumtupa nje bila huruma wala kuzingatia mikakati yoyote, inaonyesha huwa mumejawa na chuki tu.
Nilisoma sehemu mlimfurusha jamaa aliyekua ameoa Mtanzania, ambapo ni sawa kumfurusha kama hakua na vyeti maalum lakini cha kushangaza ni kwamba mkewe ambaye alibaki na duka lao, mlimkataza asiendelee na hiyo biashara hapo maana ina Ukenya ndani yake.
Sasa mke ni Mtanzania, mali amebaki nayo ndani ya Tanzania yao, mnamkataza asiendelee na biashara. Chuki za hivyo zinaweza kuleta madhara makubwa kwa jamii maana Kenya na Tanzania tumeingiana sana kijamii, ndio nchi mbili zenye mpaka mrefu, zinatumia Kiswahili, tunahusiana kibiashara na kwa mambo mengine mengi, makabila yetu ya hapo mpakani yapo pande zote mbili.
Leo hii kuna watoto wengi wa kutokea Tanzania huvuka mpaka na kusomea Kenya, kuna Watanzania maelfu wapo Kenya wanapiga mishe zao na kujikimu kimaisha. Uhamiaji wakikupa takwimu za idadi ya Watanzania wanaovuka mpaka wakiingia Kenya kila siku, utashangaa. Na pia Wakenya wanaovuka wakiingia Tanzania ni wengi.
Hivyo kabla ya kukurupuka na maamuzi ya kuvuruga kila kitu, ni bora kuzingatia mambo mengi na kufanya mambo kwa minajili ya ubinadamu.
Na pia nawaasa Wakenya wenzangu wanaokwenda Tanzania, ni bora kuheshimu sheria zao kwenye nchi yao. Nunua vibali kihalali na kwa mamlaka husika halafu nenda fanya yako na kurudi, hizi aibu za kukimbizana na askari wa uhamiaji hazifai. Kama lazima uwekeze, inabidi kuishi kwao kama Wahindi wafanyavyo, unakua makini na tayari ipo siku utafurushwa, nilishangaa Mkenya mmoja anaishi na watoto wake Tanzania. Yakitokea ya kutokea utapata aibu sana kwa kuona wanao na familia mnafurushwa kama mbwa.
Piga mishe zako ukiwaza kwenu, waache watoto wabaki Kenya uwe unarudi tu kuwacheki lakini sio kubebana nao wote na kuishi nao kwenye nchi ambayo huna uhakika kesho wataamka vipi au wana kipi kipya. Halafu hakikisha vibali vyako vyote ni halali na upo navyo tayari muda wowote, nenda ubalozi wa Kenya pia usajiriwe ili ikitokea unyanyasaji wa aina yoyote unawapa taarifa ubalozi, husadia sana.
Na vijana wale mnawafuata kuwaoa wake wa Kitanzania, hakikisha mnajadili kwa kina jinsi ya kuishi, uhakikishe watoto wenu muda mwingi wanaishi Kenya na wanajijua kuwa Wakenya maana ukiwaacha wajione kwamba wao ni Watanzania siku zote halafu yaje yakutokea ndio utakoma kwa aibu.
The problem with Tanzanians is that they were taught propaganda as part of history. Anybody who blames Kenya for the collapse of the EAC in 1977 lives in a bubble. Kenya may have been doing well economically but it had no obligation to bail other countries. The 1970's cables by American diplomats are no longer secret, can you guys go through them and learn why Kenya had to actUchumi wa Kenya ulikuwa mzuri? Mwaka upi huo? Ikumbuke vyema historia yenu na ya East Afrika ndugu. Kenya ilikuwa chini ya settler economy wkt Tz ilikuwa ni ya plantation economy, wazijua tofauti ya chumi hizo kwa jamii kiuchumi na kijamii?
1977 EAC inavunjika, unayajua yaliyojili hapo? Yameathirije chumi za mataifa husika haswa Tz na Kenya? Kenya imekuwa kiuchumi huu wa kisasa, zaidi ni enzi za Mwai na wala si Moi, je ktk vipindi hivyo, ni kipi hizi nchi zilikuwa na mahusiano mabovu?
Hivi huwa mnajiuliza, kwanini Watz hawawaamini wakenya? Rudi tena ktk historia. Haswa kuanzia na lile lililokuwa likiitwa EAC. Labda huko hamfundishwi, kwetu ilikuwa ni sehemu ya mtaala mashuleni, kila mtz anayajua vyema yote yaliyojiri.
Kuhusu kumweka raisi, hili liko wazi sana. Kwanza hamko wamoja saana. Lakini pia hiyo ni sifa ya hili taifa kubwa kimkakati na kidiplomasia Afrika. Yatafute yale yaliyowazi na yaliyojificha ktk mikakati mbalimbali ktk tawala mbalimbali za awamu zote Afrika.
Acha nikukumbushe la historia kidogo........kuna wakati uhusiano kati ya Kenya na Tanzania ilikuwa mbaya, hatukuwa tunategemyana kwa lolote, lakini uchumi wa Kenya iliendelea vizuri kushinda ya Tz. Tuliwategemea kwa lipi?
Ati halafu Tanzania inaweza kuamua nani awe rais wa Kenya.....how? See the dolt!
Nawashangaa sana Watanzania wenzangu tunawaogopa Wakenya na kuwaona ni adui wa maendeleo na kuwaacha Wahindi na Makaburu ambao kwanza wao wako mote advanced na hatuwezi shindana nao na hakuna siku tutaweza shindana na Makaburu kwenye biashara.
Wakenya hatutofautiani sana na sio threat hata kidogo, Wazungu wanakuja wanakama Aridhi ya kutosha lakini tuko kimya,sasa akipewa mkenya utasikia watu hata wakiandamana.
Waafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.
Sijawahi sikia Wamerakani wakiwafukuza Wakanada au Wajerumani wakiwavurumisha Wafaransa.
Sasa njoo Africa. Haya ndo yale yale yanafanyika South
Sorry about the late reply, I have been too busy.Sidhani kama umenielewa vyema zaidi ya kuendeleza chuki zenu za asili ambazo zimetufikisha hapa leo. Tuseme ninyi mlikuwa na mtazamo bora wa kifikra nasi wetu ulikuwa hasi, leo nasi tunaufuata wenu, je haya yanayotokea ni mazao mema ya fikra zenu pevu?
Elimu ya Kenya ina walakini ukiifananisha na ya Tz, sisi hatukulelewa kuwa na wajomba out, tujitegemee, angalia hata usivyojua kwamba, kabla ya ukoloni wa wazungu jamii nyingi za Tanzania zilikuwa juu ktk nyanja karibu zote.
Hujui kwamba ndani ya ukoloni wa wazungu, Tz iliendeshwa katika mfumo wa plantation economy, tena under trust ship ya Mwingereza, hivyo kuanzia mwaka1918 Tz,Tanzania ilikuwa ni sehemu ya kuvunia tu kulia ni Kenya.
Jiulize haya, Mwingereza ameacha shule ngapi Tz na ngapi Kenya hadi anaondoka? Vivyohivyo jiulize ktk sekta zote, viwanda, biashara, miundombinu, afya, nk. Utapata jibu lenye kuleta mantiki sana hapa. Na lililo kubwa ni kwamba sera za Tanzania zina faida kubwa sana kuliko zenu, ndo maana leo hii, Tanzania ndo mshindani wa Kenya. Hatukustahili.
Hii ndo Tanzania, inakuja na tunaileta. Kuhusu siasa, nimekwambia yale yalio wazi na yaliofichika pia. Najua unamjua Mobutu na Kabila na hadithi zao, unawajua wareno msumbiji na Angola, Zimbabwe waingereza wale na makaburu, Kenya ingecheza michezo hii, kufikia leo mngekuwa masikini zaidi yetu.
Cha msingi na msingi zaidi, Tz ilibarikiwa kuwa na viongozi wenye maono, hekima na vipawa sana, yote yanayotukia leo yalishaonwa na kuyatafutia ufumbuzi wake. Tumekosea, tujirekebishe kama tunaweza, siioni picha nzuri mbeleni, uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi sana, punde East Afrika tutakuwa na giants wawili, vuta picha hapo, eg bomba la mafuta nk. Industrial spies nk.
Kwa hiyo mnadhani kukata maji ndio suluhu? Ama mnadhani mtaachiwa? Mli-block tour vans tukaanza ku-modernize uwanja wa KIA na kununua ndege mpya. Tutaunganisha maji na umeme Namanga na Arusha.They not only looking forward to cut water to Tanzania, but they are looking into cutting off electricity to Tanzania as well, i think things may turn worse towards Tanzania than to Kenya!! Magufuli, needs to learn how to lead a country, he is going to plunge Tanzania into social, economic and diplomatic troubles
Tuliza jazba we mkikuyu.wewe pia unapenda kujipendekeza kwa watanzania sana ,sasa huungi mkono kitendo cha wakenya sasa watanzania walifanya vizuri tushangilie? ama hakuna watanzania hapa Kenya bila sitakabadi? washawahi fukuzwa?
hakuna mkenya ako interested na kuoa mtanzania labda wewe!! an enemy to any Kenyan is my enemy na hatutabembelezana na hawa takataka ,mavi ya kuku shenzi sana
Ulikua unafurahia naona dawa imekuingia sasa umeanza kuona Magufuli ameblunder.Tanzania officials deny expulsion of Kenyans at Namanga border
DAR ES SALAAM Tanzania (Xinhua) -- The government of Tanzania on Friday denied reports by Kenyan media and social media that claimed that President John Magufuli ordered the expulsion of all Kenyans living at the Namanga border in the Tanzanian side last week.
The Kenyan media and social media reported last week that President Magufuli’s order resulted into skirmishes between Tanzanians and Kenyans which lasted for almost two days in the area.
A statement by the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation said the news was false and was aimed at tarnishing the good profile of President Magufuli that has been set so far and the good image of Tanzania in general.
The government of Tanzania requested its Kenyan counterpart to dismiss the falsified news, and instead the two governments concentrate on forging bilateral relations that existed between the two countries, said the statement.
"However, the Ministry of Home Affairs through its Immigration Department conducted an ordinary exercise to deport foreign nationals including Kenyans who live in Tanzania without resident and work permits," said the statement.
The statement said it should be noted that one of the primary responsibilities by the Immigration Department of any country was to make sure that foreign nationals living in a particular country abide with immigration rules, laws and regulations.
The government of Tanzania urged the media to stop spreading falsified information that might cause unnecessary inconveniences to citizens of the two countries, said the statement.
It added that the government of Tanzania was committed to collaborating with the government of Kenya in all areas of cooperation, including partnership projects in the East African Community for the benefit of all citizens in the region.
Tuta??????? Wewe na pesa ya nani????Kwa hiyo mnadhani kukata maji ndio suluhu? Ama mnadhani mtaachiwa? Mli-block tour vans tutaanza ku-modernize uwanja wa KIA na kununua ndege mpya. Tutaunganisha maji na umeme Namanga na Arusha.
Magazeti yenu hasa The Star yanalazimisha kuuza upuuzi wao kwa kutumia kiki za Magufuli. Vyombo vya habari vyenu viache kujipendekeza kwa Magufuli na kumtungia stori za uongo kila kukicha.Ulikua unafurahia naona dawa imekuingia sasa umeanza kuona Magufuli ameblunder.
Magu si mvuta bangi UK kublunder wahamiaji Haramu wameondolewa na wataendelea kusakwaUlikua unafurahia naona dawa imekuingia sasa umeanza kuona Magufuli ameblunder.