Protokali/Itifaki za Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mishahara yao

Protokali/Itifaki za Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mishahara yao

Joined
Jun 3, 2025
Posts
94
Reaction score
153
Oya wadau Hivi protocal haiuhisiani na malipo ya hivi vyombo?

Kwa mfano,Katika vyombo vyote vya ulinzi JWTZ,POLICE,MAGEREZA,TISS,UHAMIAJI,ZIMAMOTO hapo chombo mama(senior force) ni JWTZ then vinafwata POLICE nk kama nilivyoviainisha hapo navovitaja.Mkuu wa JWTZ ndiye mwenyekiti wa ulinzi na usalama ambapo mwenyekiti msaidizi ni IGP wa POLICE, Kwa maana hiyo hata mpangilio wa salary wanaongoza jwtz,police kuendelea.

Wakikutana wakuu wa ulinzi katika mpangilio wa kukaa,ni hivyo hivyo ataanza CDF,IGP,DGTISS,CGP nk.REFER picha niliyopost hapa chini.

Swali linakuja,inasemekana usalama wa taifa wana mishahara mikubwa,wakati katika seniority manaake police ni seniors kuliko usalama kiprotocal, halafu police wana mshahara mdogo kuliko usalama.Vivo hivyo magereza wana mshahara kidogo kuliko polisi,vp hii imekaaje kwa wale wajuzi wa mambo?


Mjadala mezani
 

Attachments

  • 1750400651245.jpg
    1750400651245.jpg
    202.5 KB · Views: 50
Itifakaki na mshahara vinaakisi kwa kwa viongozi wa juu tu.
Chini na kati polisi wana mishahara finyu ukilinganisha na watumishi wa TISS
kwahiyo utakuta IGP ana mshahara mkubwa kuliko DG-TISS Halafu huku chini makonstebo wa pt wana hela ndogo kuliko constable wa tiss!
 
Back
Top Bottom