Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

mahondaw wangu...
She is beautiful words wont bring me down... She's got a new addiction for every day and night...
Though we live a crazy life but she takes away all the pain...

Her lips, her eyes, her heart, her attitude her, She took my heart... Once i had a taste of her i have never been the same she made me go insane about her... now am addicted to my mahondaw...

Cc: mahondaw
hizi blah blah sidhan km zina maanisha kweli.
Ukweli.mnaujua wenyewe

cc mahondaw
 
duh..! inamaana hata yule naniliu naye atakuwa sio mzuri kweli.? siamini.!
mboni kwenye avatar yake anaonekana mtamu hivyo?
labda kweli, ngoja hiyo kesho nikamwone live maana kuna mtu kanielekeza kazini kwao na jina analotumia.
Cc rubii
Bwana wako anakuhitaji hapa
 
Mi takwim zangu zaonesha 85% wazuri...

[HASHTAG]#tusipangiane[/HASHTAG] kipenda roho
 
Sisi binadamu wote ni wabaya ila ubaya wetu unatofautiana ktk haya
Sura
Shape
Akili
Matendo
Mengine malizieni wenyewe
 
Sio kweli mkuu, sema wewe haujakutana nao aiseeeeee.......
Jf kuna visu vya hatari....[emoji39] [emoji39] [emoji39]

Huu ni uongo,
Mkuu mimi nmekutana nao kama 10 hivi, aisee wengi ni tukunyema na umri umeenda kweli kweli. Nmejifunza kitu kuwa mademu wengi walio vizuri up stairs huwa hawana mvuto kimwonekano. Jf kuwa wanawake wako smart sana kichwani lakini mengine mhuu .....first meeting huwa last meeting na ntakupigia kibao
 
Bado nakubishia mkuu, na sipendi niseme kwamba nimekutananao wangapi.
Ukweli ni kwamba jf ina wadada/wamama visu hataree na kumbuka kwamba ubonge ni maumbile tu, na hata huku kitaa tuponao hao matukunyema.......
Na nina mashaka kwamba wewe ulikutana na hao unaowaita wenye sura nzito tu......[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu acha uongo wew, kama kweli ni Pm jina la mmoja wao unayeona ni kisu then ntaleta mrejesho hapa hapa
 
Kama umeanzisha uzi hapa, pm ya nini....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wewe kama ulikutana na wenye sura za babazao, imekula kwako....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Huu ni uongo,
Mkuu mimi nmekutana nao kama 10 hivi, aisee wengi ni tukunyema na umri umeenda kweli kweli. Nmejifunza kitu kuwa mademu wengi walio vizuri up stairs huwa hawana mvuto kimwonekano. Jf kuwa wanawake wako smart sana kichwani lakini mengine mhuu .....first meeting huwa last meeting na ntakupigia kibao

Hapo kwa green Kuna kaukweli flani.
 
Kama umeanzisha uzi hapa, pm ya nini....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wewe kama ulikutana na wenye sura za babazao, imekula kwako....[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Kwa ajili ya privacy ya id ya mtu utakaye ntajia
 
Back
Top Bottom