Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitarajie aiseee......Kwa ajili ya privacy ya id ya mtu utakaye ntajia
Mkuu unazingua demu wangu yuko hm lakini ni kifaa hatareeHahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...
Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....
Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji16]
JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH[emoji15] [emoji2]
Usitarajie aiseee......
Tena sahau kabisa
Hii ni moja kati ya masharti ya mganga ili upate kisu humu jf....[emoji2] [emoji2]Hahahah utakuwa umepewa masharti nini! Ntajie kwa usiri
Ina maana ukiwa roporopo utaishia kula avatar kwa macho, kibaya zaidi fake outlookHii ni moja kati ya masharti ya mganga ili upate kisu humu jf....[emoji2] [emoji2]
Tumejidai wapi jamani lolVidemu vya jf vinavyojua kuringa nyuma ya kibodi/simu vinajidai vikali kwakuwa vinatumia Id feki na picha zao hazionekani.
Naunga mkono hoja 100%
Hahahaaa.Mbona kama povu hivi
Na wewe mdogo wangu unayaamini haya. DuuhUsipende kuwaambia ukweli wao
Hivi kwani ukizungumzia mademu wabaya unalenga kitu gani?Mwenye picha ya demu yeyeto MBAYA wa umu Jf atusaidie kuattach kwenye hii tread please
Mdemu Wabaya Wenye Malingo Yenu umu JF Samahanini Lakin Jamani
Hujui!?Tumejidai wapi jamani lol
Umbo na suraHivi kwani ukizungumzia mademu wabaya unalenga kitu gani?
Mkuu njoo pm unielekeze njia ulizitumia kukutana na hao viumbe wa jf.Hahahah tangu nimeweka huu uzi nimekutana na wengine watatu ctaki kuyaweka wazi mazingira wala majina ila sitaman kukutana nao tena ila mmoja itanibid tu kwasababu ...mimi ndie mwenye shida zang
Note : ikiyokea kaja apa mi natania tu bana siko serious
Ooh. Kumbe hivyo. Haya bwana.Umbo na sura
Hapana my sister ..ni kwa mujibu wa mtoa postNa wewe mdogo wangu unayaamini haya. Duuh
Hahaaaa. Utadhani ameshawahi kutuona wanawake wote wa jf. LolHapana my sister ..ni kwa mujibu wa mtoa post