Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Wabaya tuna kazi jaman kwani tumejiumba wenyewe hizi mambo ndio zinatufanya tuogope hata kuonana mwisho wa siku tutakuna na mathread na misura yetu ya baba tumewekwa
 
Kwa usawaha huu ni halali vifurushi vipande bei hamna matumiz kabisa
 
Siwezi kusema au kuchangia chochote. Sijawahi hata cku moja kukutana na dem yoyote wa humu ndani(jforum). Wadada mnitafute tuonane ili niweze kuwatetea.

sent from using iphone 7+ mobile app
Kwakwel ni vimeo hatari
 
Yaani vimdada vizuriiii sana niko navyo tangia chuo!! vizuri hatareee! na nilijua haya sababu nina kaujuzi wa computer nilijifunza kutoka kwa mjomba wangu wkt flani hivi nikiwa nasubiri matokeo ya kwenda kujiunga na chuo!

nikiwa chuo nilikuwa fundi simu na computer kweli nilikula fedha ya wanachuo na wakufunzi hasa!! sasa ktk kufanya haya nikwajua wengi sana ambao wengine niko nao humu tunajuana tu mpaka huko!! Quora, dupic, jaliwa nk! kwa kwenda mbele wazuri hatare

wewe ukipata niulize mie nikupe details, hata wengine wameniunganisha huko nisikojua nika shindwa mie! hawakufichi na wao wanaunganishwa na jamaa zao wa mbele huko! si unajua wadada matawi!

Lkn ukitaka nikuunge ni kwa hela ntakwambia oa au usioe!!! hivi kweli unadhani wanavyuo wote ndani na nje ya nchi wawe wabaya kwa asilimia 80? wewe nadhani hukuwahi kaa vyuoni wewe! kwanza huko mbali seco. tuu! hapo! humu ndo wadada pa kupitapita wanaondoa stress!

na wazuri walivo hawajitokezagi kujibu wanapita hivi!!! mie nadhani wewe ndo tatizo ila wadada tena nadhani ni bomba wote! kina Lina, hao! jack mweee! katoto kazuri sijui miss natafuta, ina maana hujawahi kuonana hata kiasi cha kumi tu kutoka humu?

kuna yulee HR wa AAR, sasa jamani yule ni mbaya kweli? ivi ukiwaona hawa utasemaje! ni myoto hatare!!! mdada aliye kwenda shule wamo humu tu lazima!! ukiona hata uchangiaji wao wakisomi sema tu unataka wajitokeze upatiemo

Jamanie wadada mkae hukohuko mnatakwa kuonwa na huyuuuuu!!!
 
I wish i could turn back the hands of time😹
 
OMG thanks Smart911 sweetheart.. Wewe ndo unaning'arisha bila wewe am nothing.. .asante kwa kuona nakufaa mfalme wangu na kuzidi nipendezesha zaidi na zaidi...
Nakupenda Smart911 mume wangu!
If moments would be easily brought back in our lives, I wouldn't be thinking as how I do now.
 
Kama wengi humu ni wa kichaga basi ni sahihi coz of maumbo yao.
 

Ndio unajua leo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…