Proved: Diamond Platnumz alipia Matangazo Youtube

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Sasa kinacho kushangaza ni nini? Mbona hushangai Mengi kulipia matangazo ya soda zake?
Hivyo ndivyo biashara hufanywa na kwa juhudi hizo Diamond ataendelea kupiga pesa hakika....
Vichwa vigumu mnashangaa mfanya biashara kutangaza huduma yake?
 
Vijana wa kitanzania, jishughulisheni na maisha yenu jamani, mnajihusisha na Diamond anawasaidia nini maishani?
Tena unakuta ni vidume kabisa swali ambalo mimi huwa najiuliza hivi jamaa akifilisika watapata faida gani at least anavyofanikiwa analipa kodi na kaajiri watu pia hivyo kwa kiwango fulani anakuza uchumi

Sent from my Phillips Savy
 
Hata kanumba mlimsema sana ila alipokufa mkajiweka kimbelembele front kumsifia na kumhuzunikia. Dai akienda na bongo fleva aina yake inakwisha na kiba anakwisha kama ray wa bongo movie
Huo ndio ukweli mkuu na wataanzisha thread hapa bongo fleva sio

Sent from my Phillips Savy
 
Kwa nini sasa???????hofu inauwa.....watazame P square ni matajiri ila madogo Davido na Wizkid wanawafunika kimuziki ni sawa na Mondi...ajipange mambo ya kutegemea video Kali kubeba audio mbovu umekwisha...mangoma niliyopenyezewa ya Kiba yanatisha kuna watu wataenda kujificha Somalia
 
Unapika na kupakua kwa kiba mpk anakupenyezea ngoma zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond platnumz kulipia YouTube kwa ajili ya promo si sawa ila kiba kulipia instagram kwa ajili ya promo ni sawa ,wewe kama humpendi mtu sema si mpendi, kwa kifupi kiba na mondi wanabebwa na beef mziki hawana na ndio maana wanahangaika mara kiba aombe sapoti kwa mange, Mara alipie promo insta huku mondi nae alipie promo YouTube, kwa kifupi mwaka huu msanii aliyevuma bila promo ni Asley na nyimbo bora ya mwaka ni angekuwepo mama, full stop ila kiba anategemea promo na maadui wa mondi na mondi nae anategemea promo kwa kifupi mziki hawana.
 
Biashara matangazo me sioni ubaya anao fanya ikiwa yy anajua mwisho wa siku ana make more money
 
hahahha...sasa unashangaa nini sasa?? nenda kamwambie mange...hahahaha
 
Wabongo kazi kulalia tu bila sababu
 
Baadhi ya watu labda Hawaelewi.

Ukisikia Msanii anajisifia kuwa nyimbo yake imetazamwa sana kwenye mtandao wa YouTube ni ishara ya kuwa wimbo wake umependwa na nimzuri.

Ili kujisifia huko kuwe na maana ni pale ambapo video yako inapata organic traffic.

Ukitangaza maana yake umepata watazamaji wakununua mwenyewe.

Kwa kifupi huwezi jua nguvu ya video yako.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: 314
Mbona hata Seduce Me ime lipwa uko Vevo au ujaiona

G.O.M.D
 
Jibu kumbe unalo mwenyewe kuwa anafanyia matangazo.....kila mfanyabiashara anabuni kulingana na nyakati na wakati, sasa unashangaa nn yy kama kaona kunauhitaji wakutumia njia iyo kufanya matangazo yy anasababu zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaniiiii eh maisha magumu vijana tafuteni hela... halafu muanze kulialia tena TRA waliwaonea kuwauliza kuhusu mekanikia , mna nini vijana wa kitanzania?
 
Naona [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] imeanza kuwakamata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…