PS4 yangu ya Kichina haikubali akaunti yangu, naomba msaada kutatua tatizo

PS4 yangu ya Kichina haikubali akaunti yangu, naomba msaada kutatua tatizo

Joseph 44

Senior Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
100
Reaction score
65
Kama uzi unavyojieleza ni kuwa nina ps4 slim yangu mpya ya kutoka china sasa kuna siku nimeamua ni sign in kwenye account yangu ya marekani sasa cha ajabu kila nikisign in inaandika "cannot use this account with this ps4" nimeshindwa kabisa kuelewa nimejaribu kucreate account mpya lakini kuselect nchi haileti za ulaya au marekani inaleta ya kichina tu na nilipomaliza kucreate account ya kichina ikaniletea sehemu ya kuverify email ambapo kwenye kuverify inatakiwa niwe na namba ya simu ya china, kitamburisho cha taifa la china yaani Id. Wakuu nauliza je nikiipeleka kariakoo ikawekewe game itawezekana na je kuna namna ya kuiunlock?
images.jpeg
 
Back
Top Bottom