last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Umaskini mbaya,sasa hata wewe kwl kwenye huo ukumbi unathamani kwl? Mwenzio duniani ndo thamani yake hiyo wewe je? Tafuta pesa mkuu acha kusubiri huruma ya mwenyezi mungu,kakuachia dunia yote uitawala unataka akupe na nini tena?Hata awe na thamani kiasi gani, lakini kwenye Ukumbi wa Mungu uthamani wake hautatambulika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe Shoga-neymar,mo-neymer...BARCELONA NI ZAIDI YA TIMU NA NI KUBWA KULIKO SHOGA NEEMA
Mkuu mnataka mumuandae Mpaka lini...?Neymara haendi kokote.
Tunamwandaa awe mrithi wa messi
Mhudumu ongeza bia.
Mbona kama umepanic sasa, tulia kila mtu ana maamuzi yake,BARCELONA NI ZAIDI YA TIMU NA NI KUBWA KULIKO SHOGA NEEMA
Umeongea point sana mkuumpunga unatoka kwenye serekali ya Qatar (ndio wamiliki wa psg). hiyo kwao ni hela ndogo sana hata wakipata hasara wao shida yao wanataka neymar aitangaze nchi yao vizuri kabla ya world cup 2022.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya huyo dogo anajiskia sana kingine Barca hatupendi wavaa hereni
Leo kawa shoga??BARCELONA NI ZAIDI YA TIMU NA NI KUBWA KULIKO SHOGA NEEMA
Mbona kama umepanic sasa, tulia kila mtu ana maamuzi yake,
mbona unamtetea sana huyo dada NEEMALeo kawa shoga??
Alipokua anafunga ulikua unashabukia magoli ya shoga??
Tuache ushabiki wa kijinga!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali mkuu!!mbona unamtetea sana huyo dada NEEMA
sijawahi shangilia magoli yakeHujajibu swali mkuu!!
Ulipokua unashabikia magoli ulikua unashabikia magoli ya shoga???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kushabikia barcelona kuchukua ubingwa wa ligi au uefa?sijawahi shangilia magoli yake
UNA LINGINE[emoji4]
Na Hereni zake mlimpokea Kwa mbwembwe nyingi sana.tushamuacha aende kwa wavaa hereni wenzie
mkuu mbona tunalazmishana kwani kuna tatzo nisiposhangilia magoli ya neemaHujawahi kushabikia barcelona kuchukua ubingwa wa ligi au uefa?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] cha ajabu kaondokaNa Hereni zake mlimpokea Kwa mbwembwe nyingi sana.
Ila mlimpokea mwanzoni[emoji1] [emoji1] [emoji1] cha ajabu kaondoka
tulijua ni balehe kumbe ndio tabia aliyozaliwa nayoIla mlimpokea mwanzoni
Mwanzoni ulipinga hivi kweli?tulijua ni balehe kumbe ndio tabia aliyozaliwa nayo