PSG kumtambulisha Neymar kwa ‘mbwembwe’ Jumatano

PSG kumtambulisha Neymar kwa ‘mbwembwe’ Jumatano

Hata awe na thamani kiasi gani, lakini kwenye Ukumbi wa Mungu uthamani wake hautatambulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umaskini mbaya,sasa hata wewe kwl kwenye huo ukumbi unathamani kwl? Mwenzio duniani ndo thamani yake hiyo wewe je? Tafuta pesa mkuu acha kusubiri huruma ya mwenyezi mungu,kakuachia dunia yote uitawala unataka akupe na nini tena?
 
Mbona kama umepanic sasa, tulia kila mtu ana maamuzi yake,
a9da8bd6abc736fbcfbb9a68a0b45e78.jpg
tushamuacha aende kwa wavaa hereni wenzie
 
Ukwel ni kuwa mbali na ishu ya million 26 anazotakiwa kulipwa meneja wake ambaye ni mzaz wake kuna suala la kodi hispania wanakata kod asilimia kubwa sana afu na ile kumuandama na kesi za kusema anakwepa kodi dogo kaona isiwe shida , hili la kodi na makesi ya kifala kuhusu Kodi nimeona hata ronaldo alimaind alitaka kusepa Madrid
 
Back
Top Bottom