last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Umaskini mbaya,sasa hata wewe kwl kwenye huo ukumbi unathamani kwl? Mwenzio duniani ndo thamani yake hiyo wewe je? Tafuta pesa mkuu acha kusubiri huruma ya mwenyezi mungu,kakuachia dunia yote uitawala unataka akupe na nini tena?Hata awe na thamani kiasi gani, lakini kwenye Ukumbi wa Mungu uthamani wake hautatambulika.
Sent using Jamii Forums mobile app