BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
- #41
Kwanini mkuu unasema hivo
Ingekua wewe utakataa mshahara wa bilioni 1.9 kwa wiki???
What goes around always comes around
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu unasema hivo
Kwa pesa sawa ila ligue 1 sio quality ya NeymerKwanini mkuu unasema hivo
Ingekua wewe utakataa mshahara wa bilioni 1.9 kwa wiki???
What goes around always comes around
Achana na ligue 1, unafikiri ligi ipi ingemfaa baada ya kutoka la liga?
Maybe mkuu, kuna mambo pengine yamechangia, haswa hilo la baba yake kutopewa pesa kama mkataba wake unavyosema ambapo walitaka wampe barca,,halafu na ule ugomvi uliotokea mazoezini, na pia jamaa anaona akapate ufalme sehem nyingine lakini wakati huu akiwa peke yake katika timu, na sio kuishi chini ya kivuli cha messi na suarez, na mwisho ni PESA mkuu...PESA PESA PESA PESA.
EPLAchana na ligue 1, unafikiri ligi ipi ingemfaa baada ya kutoka la liga?
Labda huko mbeleni anaweza enda EPL,
Ukumbi wa Mungu Ndio upi. .?Hata awe na thamani kiasi gani, lakini kwenye Ukumbi wa Mungu uthamani wake hautatambulika.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaUkumbi wa Mungu Ndio upi. .?
Hapa tupo kwa kandanda ndugu yangu.
NI KWELI ANAONDOKA ILA MUACHE AENDE KWANI TULIMPA HESHIMA KUBWA SANA ILA ANATULETEA UCHIZI HIVI KING ANGEKUWA NA TAMAA ZA PESA ANGEONDOKA BARCA TANGU MDA SANAAcha kukurupuka na source zako za kiduanz...
Nakurupuka sio hahahaha wabongo bwana.Acha kukurupuka na source zako za kiduanz...
Mkuu!Acha kukurupuka na source zako za kiduanz...