PSG kumtambulisha Neymar kwa ‘mbwembwe’ Jumatano

PSG kumtambulisha Neymar kwa ‘mbwembwe’ Jumatano

Kwa pesa sawa ila ligue 1 sio quality ya Neymer

Sent using Jamii Forums mobile app
Maybe mkuu, kuna mambo pengine yamechangia, haswa hilo la baba yake kutopewa pesa kama mkataba wake unavyosema ambapo walitaka wampe barca,,halafu na ule ugomvi uliotokea mazoezini, na pia jamaa anaona akapate ufalme sehem nyingine lakini wakati huu akiwa peke yake katika timu, na sio kuishi chini ya kivuli cha messi na suarez, na mwisho ni PESA mkuu...PESA PESA PESA PESA.

What goes around always comes around
 
Acha kukurupuka na source zako za kiduanz...
NI KWELI ANAONDOKA ILA MUACHE AENDE KWANI TULIMPA HESHIMA KUBWA SANA ILA ANATULETEA UCHIZI HIVI KING ANGEKUWA NA TAMAA ZA PESA ANGEONDOKA BARCA TANGU MDA SANA
 
Uwezo na umahiri wa Messi akiwa ndani ya uwanja kuna wafanya baadhi ya wachezaji waichukie Barcelona.. Bahati mbaya wanasahau kuwa mpira ni vitendo na si maneno.

Neymar ikitokea akaondoka itakuwa salama kwake kwani uwezo mkubwa alionao Messi kuna mnyima fursha ya kushine mbele yake.
 
Acha kukurupuka na source zako za kiduanz...
Nakurupuka sio hahahaha wabongo bwana.
Nenda fanya research yako au muulize salim kikeke atakuambia hahaaha au mpaka mumuone ameshika jezi ya PSG mbele ya mnara wa kule PARIS

What goes around always comes around
 
Acha kukurupuka na source zako za kiduanz...
Mkuu!

hii habari inazunguka mitandaoni, muda simrefu mambo yatakuwa mambo-skysport.

Neymar ni moto wa usiozimika!!
The only way to stop him scoring against you,Buy him..!

Ila kwenda L1 mimi mwenyewe sijapendezwa.
 
Back
Top Bottom