FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ona mambo hayo..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matunda ya CCM hayo.
Tunazidi kusonga mbele.
Em' acha kua kama msukule bwana.., kwani hili jengo ni la CCM..?!Matunda ya CCM hayo.
Tunazidi kusonga mbele.
Yeah..nadhani hao mapacha wataongoza kwa urefu bongoland..!
Ywah ni njia nzuri majirani zetu hawana viwanja vya kujenga maana yao yalijengwa zamani
Hivi unajua hayo majengo yanajengwa na mkandarasi mmoja japo ni ya wamiliki tofauti japo wako chini ya 'umma mmoja' wa Watanzania?Em' acha kua kama msukule bwana.., kwani hili jengo ni la CCM..?!
Matunda ya CCM hayo.
Tunazidi kusonga mbele.
No wonder CCM ndio iliyokudumaza akiliMatunda ya CCM hayo.
Tunazidi kusonga mbele.
siyo bongo tu. east and central and west and north africa. south tu ndo wametupita kidogo. PSPF ni la nne kwa urefu hapa Afrika. kwa hiyo TPA itakuwa juu zaidi
Uchokozi huo,ngoja wenyewe waje
Mkuu, hawa watu achana nao bwana wanavyocheza na nchi hii, nakuwa najiuliza hiyo michirizi ya njano na vioo vya kijani vinaashiria nini!Hivi unajua hayo majengo yanajengwa na mkandarasi mmoja japo ni ya wamiliki tofauti japo wako chini ya 'umma mmoja' wa Watanzania?
Na je, unajua kuwa huyo mkandarasi aliwahi kutajwa kwenye orodha ya watu fulani!
Ukipata majibu hayo utafakari then ujikumbushe ujenzi wa 'twin towers' za BoT, hapo utajua baada ya 2015 anaweza kupatikana 'Dr. liyumba' mwingine.
TPA tower ni hilo linalojengwa kushoto mwa hizo PSPF towers..Duh. Nafikiri ushamba umeshanitoka. Majengo marefu kwangu kitu cha kawaida siku hizi, nimewahi simama pale chini ya haya majengo pacha. Ni marefu kweli, ila sikuona marefu kiasi hicho cha kusema ni marefu East, central, West mwa Afrika. Basi vizuri. Nikienda tembea ulaya au sauzi sitashangaa majengo marefu. Pia naomba kuelimishwa, PTA ndo hizo twin towers au.
TPA tower ni hilo linalojengwa kushoto mwa hizo PSPF towers..
Mkuu, hawa watu achana nao bwana wanavyocheza na nchi hii, nakuwa najiuliza hiyo michirizi ya njano na vioo vya kijani vinaashiria nini!Hivi unajua hayo majengo yanajengwa na mkandarasi mmoja japo ni ya wamiliki tofauti japo wako chini ya 'umma mmoja' wa Watanzania?
Na je, unajua kuwa huyo mkandarasi aliwahi kutajwa kwenye orodha ya watu fulani!
Ukipata majibu hayo utafakari then ujikumbushe ujenzi wa 'twin towers' za BoT, hapo utajua baada ya 2015 anaweza kupatikana 'Dr. liyumba' mwingine.
Ghorofa ngapi?Hakika PTA ni jengo Refu sana..
Wenzetu Kenya lazima udenda uwatoke hapa..