PSPF towers kufunikwa na TPA tower, Dar kama ulaya!

PSPF towers kufunikwa na TPA tower, Dar kama ulaya!

Kuna umuhimu wa kuwa na majengo marefu hvyo??
 
Wanajenga majengo town parking za shida...mifoleni hayo majengo yangejengwa kibaha huko au bagamoyo...
 
Wanajenga majengo town parking za shida...mifoleni hayo majengo yangejengwa kibaha huko au bagamoyo...

Mpaka sasa sioni umuhimu wa majengo haya marefu ktkt ya Jiji lisilo kuwa na miundombinu zikiwemo barabara nyembamba.
 
Yaani akili zetu bwana Kenya watuonee wivu kwa kuwa na magorofa marefu? Wao kila siku wanaongeza idadi ya viwanda wanazidi kuimarisha shilingi yao, pesa inathamani na wanauhakika wa ku export mali, sie tunajivunia kuinua shingo juu kuangalia mwisho wa jengo.
 
Mkuu samahani naomba kuuliza..hili jengo la PSPF ni hili hapa nyuma ya Millenium Tower?
By the way hii Camera uliyotumia hapa si mchezo..picha kiwango sana..!!

Ni Sony xperia z1 mkuu. Hapo haijafanyiwa editing yoyote.
Ngoja nirushe zingine...
 
Attachments

  • 1415118176671.jpg
    1415118176671.jpg
    48.5 KB · Views: 348
  • 1415118206244.jpg
    1415118206244.jpg
    51 KB · Views: 326
Mkuu umetisha sana..mi ninayo Experia X10i lkn haina picha kiwango kama hizi..daah..!!
 
Yaani akili zetu bwana Kenya watuonee wivu kwa kuwa na magorofa marefu? Wao kila siku wanaongeza idadi ya viwanda wanazidi kuimarisha shilingi yao, pesa inathamani na wanauhakika wa ku export mali, sie tunajivunia kuinua shingo juu kuangalia mwisho wa jengo.

Hayo ndiyo majanga ya elimu wanayo pata vijana wetu,ukiongezea na kukosa exposures inakuwa shida. Na baada ya miaka michache hawa ndiyo decision maker ktk taasisi na mashirika yetu ya Umma!!
 
Hayo ndiyo majanga ya elimu wanayo pata vijana wetu,ukiongezea na kukosa exposures inakuwa shida. Na baada ya miaka michache hawa ndiyo decision maker ktk taasisi na mashirika yetu ya Umma!!

kweli kwa upeo huu wa kufikiri nchi hii lazima vijana wazidi kukimbilia siasa kuliko taaluma, na idadi ya division lazima ziongezeke. ni aibu sana.
 
ndugu mwasu na ndugu timbilimu pokeeni like zangu. tunabinafsisha viwanda vinakuwa store ya muwekezaji huku tukijisifia ujinga wa ghorofa ndefu! hakika hata mwanafunzi wangu wa darasa la pili hakuwaza hivo..
 
Mkuu samahani naomba kuuliza..hili jengo la PSPF ni hili hapa nyuma ya Millenium Tower?

Mkuu hebu weka kwanza kumbukumbu zako sahihi...

Millennium Towers ambayo inamilikiwa na LAPF ipo Makumbusho (Wilaya ya Kinondoni) na hakuna bahari karibu wala utitiri wa majengo marefu kama inavyoonekana pichani.

Haya majengo mawili ya PSPF unayoyaona katika picha yapo pembezoni mwa bahari karibu na bandari ndogo au pembezoni mwa HQ ya TRA...
 
Matunda ya CCM hayo.

Tunazidi kusonga mbele.
Nchi za watu wenye akili timamu mfano China hayo ni majengo ya kijiji, yaani Village,.... sema bongo watu wa kuwa impressed na vitu vidogo sana...
 
Hao wanaojenga hayo majengo ni Wahindi wanajulikana kama Estim constructions. Ndio hao pia waliojenga Magorofa ya UVCCM. Kiukweli jamaa wako vizuri hata Mchina haoni ndani...
 
Cha mtu mavi tujenge wetu ili tutokani na manyanyaso na mateso ya nyumba za kupanga hasa uswahilini na kizuri hakinyeemi
 
Back
Top Bottom