PSPF towers kufunikwa na TPA tower, Dar kama ulaya!

PSPF towers kufunikwa na TPA tower, Dar kama ulaya!

Yaani akili zetu bwana Kenya watuonee wivu kwa kuwa na magorofa marefu? Wao kila siku wanaongeza idadi ya viwanda wanazidi kuimarisha shilingi yao, pesa inathamani na wanauhakika wa ku export mali, sie tunajivunia kuinua shingo juu kuangalia mwisho wa jengo.

Juzi wamezindua ujenzi wa reli yao kwa kiwango cha standard gauge, sisi tunakarabati reli iliyoachwa na mjerumani miaka 100 iliyopita, CCM ni janga jamani tuamke!
 
Juzi wamezindua ujenzi wa reli yao kwa kiwango cha standard gauge, sisi tunakarabati reli iliyoachwa na mjerumani miaka 100 iliyopita, CCM ni janga jamani tuamke!
watu wakiamshwa wanapiga baba zao, ishara ya uvivu. Bila kuwaondoa hawa na kudhibiti hela za bure wanazopeana kuelimsha vijana itakuwa kazi sana,baadhi ya wasomi ndio wanaongoza kwa ubumbavu
 
Matunda ya CCM hayo.

Tunazidi kusonga mbele.
Matunda ya CCM we chizi kweli hao PSPF wanajengea hela zetu za pension na hao ccm wenyewe wanakopa halafu unasema matunda ya CCM.?
 
Ona mambo hayo..!

attachment.php
Wewe FRANCIS DA DON ni mjinga
 
Back
Top Bottom