PSRS iendelee kuajiri au turudi kwa mashirika yaajiri tena kama ilivyokuwa awali?

PSRS iendelee kuajiri au turudi kwa mashirika yaajiri tena kama ilivyokuwa awali?

Mimi waendelee tu, Ila tu nawaomba kitu kimoja kwao.
• Wawe time management, yaan watangaze kazi kwa wakati, kuita usaili mapema na baada ya Oral kuitwa kazini iwe ndani ya wiki 2 au 3.

• Nao waombe kibali Cha Ajira ili wapate watu wengi ambao itasaidia kufanyika kwa saili Kila Kanda.

Ni hayo yangu Ila ukweli PSRS wako vizuri, wanachapa kazi na waendelee kupewa hii dhamana.
Nawasihi sana wasijisahau kwenye kazi zao, mambo ya kusemwa vibaya na mkuu wa Nchi kama hivi leo sio Vizuri na inawashushia Ile heshima yao kama Taasisi inayoaminika, So watu wasiofuatilia harakati za utumishi basi watawaona mafedhuri wanatoa Ajira kwa kujuana/rushwa kumbe Wala siyo hvyo..

Sekretarieti ya Ajira
Hakika, PSRS wanajitahidi sana. Ni kufanyia tu kazi mapungufu hayo itakua vizuri sana.
 
Mimi waendelee tu, Ila tu nawaomba kitu kimoja kwao.
• Wawe time management, yaan watangaze kazi kwa wakati, kuita usaili mapema na baada ya Oral kuitwa kazini iwe ndani ya wiki 2 au 3.

• Nao waombe kibali Cha Ajira ili wapate watu wengi ambao itasaidia kufanyika kwa saili Kila Kanda.

Ni hayo yangu Ila ukweli PSRS wako vizuri, wanachapa kazi na waendelee kupewa hii dhamana.
Nawasihi sana wasijisahau kwenye kazi zao, mambo ya kusemwa vibaya na mkuu wa Nchi kama hivi leo sio Vizuri na inawashushia Ile heshima yao kama Taasisi inayoaminika, So watu wasiofuatilia harakati za utumishi basi watawaona mafedhuri wanatoa Ajira kwa kujuana/rushwa kumbe Wala siyo hvyo..

Sekretarieti ya Ajira
Psrs wapo vzr hawana mambo ya connection, kipengere cha kurekebisha ni hicho cha uharakishaji wa michakato.

Naamin mkuu ameenda haraka washaur wwtafanya kazi yao.!
 
Hujaelewa alichoongelewa aliongea miradi ambayo ni ya muda mfupi ajira zake sio lazima utumishi ili kuendana na muda wa miradi
Nimeelewa vizuri hata mwa ajira za mda mfupi uhuni utakua mkubwa tu kwa hayo mashirika.
 
PSRS ndo nini? na wenyewe majizi tuu, wanafojisha mitihani ya USAILI Kwa watoto wao na Kwa matoto ya vigogo mpaka inafungiwa maandazi mitaani, Tena Bado watu wanachomekwa makazini Kwa njia za panya kama Kawa. Hakuna Cha PSRS Wala Cha nini vyote na yote ni mlemule tuuu
 
Ayo mambo ayaepukiki ila kwa kiasi kikubwa PSRS inasaidia ata watoto wa maskini wanapata pakuingilia
 
Ila Kuna kitu naona watanzania wengi sio waelewa ndo maana hata mitihani tunafeli.

Nilivyomuelewa mm ni kwamba zile ajira za mda za haraka haraka..
Hiyo mitihani tunayofeli inatungwa na kusahihishwa na Warundi ?

pengine tatizo lipo kwy mitihani na wasahihishaji

2+2, kama marking scheme imesema jibu ni sita maana yake waliofaulu ndio vilaza

kufaulu mtihani sio kigezo pekee cha akili
 
PSRS ndo nini? na wenyewe majizi tuu, wanafojisha mitihani ya USAILI Kwa watoto wao na Kwa matoto ya vigogo mpaka inafungiwa maandazi mitaani, Tena Bado watu wanachomekwa makazini Kwa njia za panya kama Kawa. Hakuna Cha PSRS Wala Cha nini vyote na yote ni mlemule tuuu
Ndio yako mapungufu hawana ukamilifu kwa 100% lakini ni heri hawa kuliko mashirika.

Mchakato wa kuajiri sasa hivi wana shortlist, wataenda interview kuanzia written hadi oral na wanatoa matokeo mwishi wanaita watu kazini.

Mashirika hayana uwazi huezi hata kuskia wanatangaza nafasi sasa unaona ni sawa hawa waajiri?
 
Mapungufu ya PSRS ni kuchelewa kuita watu kazini.Basiiii.Na Hilo ndio udhaifu wao Mkubwa.Mengine hayana shida kabisa.
Naimani watakuwa wameelewa Mhe.Rais anataka Nini.Kuchelewa kutoa Majina ya waliopata Ajira na ilhali umewafanyisha watu usaili haileti picha nzuri.Mtu anakaa miezi miwili,yote anasubiri Placements Kwa Nini? Hili ndio tatizo lao Kubwa.Wakirekebisha hili basi kila kitu kitaenda sawa na hawatoona Mkuu wa Nchi akiwalalamikia Tena.
Sekretarieti ya Ajira
 
Ila Kuna kitu naona watanzania wengi sio waelewa ndo maana hata mitihani tunafeli.

Nilivyomuelewa mm ni kwamba zile ajira za mda za haraka haraka..
Ukweli ni kwamba sisi watanzania tulio wengi ni VILAZA, ni mara nyingi sana tunashindwa kuelewa simple things.
 
Ila Kuna kitu naona watanzania wengi sio waelewa ndo maana hata mitihani tunafeli.

Nilivyomuelewa mm ni kwamba zile ajira za mda za haraka haraka..
Ajira za muda mpaka sasa mashirika yanafanya yenyewe ila wanaomba kibali utumishi.
 
Utumishi wapumzike, kwanza wana dharau, hawako considerate. Urasimu uko pale pale. Acha mashirika yaendelee kuajiri kama kawaida

Kuna mdogo wangu aliwahi kupangiwa interview branch ya mwanza tena wao ndo walikosea kwenye ku sort adress na tarehe ya interview inatangazwa alikua hospitalini Dar hoi, akapata nafuu siku moja kabla ya interview. kaenda pale DUCE na cannula mkononi alitoka hospitali kwa kujikaza anajaribu kuwaelezea situation anaomba afanyie interview pale walimkatalia. Nikasema kweli ni kazi yao. Ila ubinadamu sifuri
 
SWALA YA AJIRA LIENDELEE KUFANYWA NA PSRS KAMA ILIVO KAWAIDA, CHA MSINGI NI SISI TUWE NA IMANI KUBWA NA PSRS, HASA KWENYE MASWALA MAZIMA YA AJIRA, TUPUNGUZE KUWAPA LAWAMA,KWA HAYA MACHACHE YALIOJITOKEZA NINA IMANI KUBWA YATAFANYIWA MAREKEBISHO NA KILA KITU KITAKUWA SAWA, TUSISAHAU KWENYE MAZURI MENGI MAPUNGUFU MADOGO MADOGO HAYAKOSEKANI.
 
Back
Top Bottom