Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
enzi zile za kuandika barua moja kwa moja kwenda kwenye taasisi husika kuna raia walikuwa wanaandika na hawakuwahi hata kuitwa, na hata waliopata kuajiriwa kujuana kulikuwa ni kwingi saba japokuwa utumishi wana mapungufu yao ila yanavumilika nimeshuhudia mtu ambae hana connection yoyote na fresh from school kapata nafasi ya ajira. Bora mara 100 ibaki utumishi kuliko kurejea katika taasisi husika
hata hii issue ya Dodoma japo tunaona ina changamoto zake ila ni bora maana ikianza kila kitu kumalizikia mikoani ndio mwanzo wa kupenyezana maana mtakuwa wote mnajuana mkoa husika, written zifanyike huko mikoani ila Oral zibaki tu Dodoma