PSRS interview questions (written, pract & oral)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wakiwa nje wanaona mambo rahisi

Ingia sasa wewe uone utakavyo kandwa yaani kama hujui kitu hata zile dakika 40 ni nyingi

Unakutana na swali jiwe halieleweki hata kujitungia majibu useme usiache swali wazi unashindwa unacheka tu hata nikiamua kudanganya nadanganya vipi [emoji16]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kuna pepa unafanya unaona kabisa hii sitoboi
 
Maswali ya written interview Operation officer TAA 14/09/2022 UDOM
1. Explain the rules when dealing with an aircraft Door
2. Explain the procedures of conducting runway inspection notification
3. Mention activities conducted at airport apron area
4. Process of scientific research
5. Threats of aviation industry
 
Chuma hiyo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kada gani mkuu?
 
Kuna siku niliingia kwenye mchujo na barakoa yangu msimamizi akaja kugawa karatasi na mtihani wakati anakusanya karatasi akawa ananiuliza eti barakoa imekusaidia ?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hahhhh watu wanaandikaga majibu kwenye barakoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…