PSRS interview questions (written, pract & oral)

Kuna siku niliingia kwenye mchujo na barakoa yangu msimamizi akaja kugawa karatasi na mtihani wakati anakusanya karatasi akawa ananiuliza eti barakoa imekusaidia ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nazani alijua ulivyopambana akawa anahisi hiyo barakoa inakubana pumzi ndio maana akakuuliza kama imekusaidia
 
Nyie ndio mnakosaga fursa kwa kuamini uongo.Nasikia wanajitolea,watapata hao.... nk uzushi!.Serikali haina sera ya upendeleo acha kusikiliza uongo.
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza kijana, mpaka nina historia juu ya hilo miaka kadhaa nyuma pale NIT kilichotokea waliokuwa kwenye usahili hadi matokeo, Mungu ndio anajua. Pale Muhas, JKCI nina taarifa zake mbali na baadhi ya watoto wa vigogo kupeleka cv yao toka kwa mtu mmoja aliyewahi kufanya UN, akakutana na kiongozi husika mwenye msimamo usioyumba, kipaumbele wanaojitolea, nami naunga mkono kipaumbele kwa wanaojitolea kuliko waliokaa home tu.
Binafsi kwa umri wangu,sifikiri ajira ya kuja kulipwa laki 7 kijana,ninachoongea ninamaanisha na sijawahi kuleta porojo hapa JF kwenye watu wenye akili zao,kama huna taarifa tulia na haimaanishi wasiojitolea hawapati nafasi no! Nadhani ungesoma andiko langu ungeeleza vizuri, acha kukurupuka.
 
We mzee unazeeka vibaya sana,sasa kama hufikirii ajira za laki 7, kwenye huu uzi unatafuta nini?
 
Admission officer
some of the oral interview questions.

-Briefly tell us about yourself education and work experience
-Stakeholders of university admission
-Challenges of online admission system
-Duties of an admission officer
Hii Ilikua nyepesi nadhani utatoboa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…