PSRS interview questions (written, pract & oral)

Huwa nikifikiria pepa za utumishi, nanyong'onyea sana, kuna kipindi pepa inakuwa rahisi(mara chache), ila siku zote ni ngumu.

Nawashauri tupitie hata terminology za linguistic(kingereza), sababu huwa kuna maneno technical ya english yanatumika, ilihali unaweza kuwa unazo point za swali ila english imetumika ya scotland, basi mnabaki kuangaliana na kutoa macho na wadau.

Mfano, hivi hili swali lilihitaji nini?

Mention survey instruments and uses in research perspective?

Hivi hilo swali lilihitaji pegs, ranging pole, survey band, e.t.c au lilihitaji point gani? Karibuni tuanze kukandana hapahapa?
 
ilikuwa courses gan??kama sio courses za engineering hilo ulilotoa sio jibu sahihi
 
ilikuwa courses gan??kama sio courses za engineering hilo ulilotoa sio jibu sahihi
Haikuwa engineering mkuu ni kozi za kawaida hizi ambazo research inatumika katika shughuli zake za kila siku.

Hahaha ndiyo nimelileta makusudi sababu kuna wengi walisema wamejibu hivyo, mkuu leta tips kidogo ilihitajika vitu gani???
 
Haikuwa engineering mkuu ni kozi za kawaida hizi ambazo research inatumika katika shughuli zake za kila siku.

Hahaha ndiyo nimelileta makusudi sababu kuna wengi walisema wamejibu hivyo, mkuu leta tips kidogo ilihitajika vitu gani???
Maswali ambayo ni technical kama hayo unajibu kulingana na course walivyowaita kwamfano wwe wanataka labda economist halafu wakatoa swali hilo ukijibu hizo pegs umekwama mzee
Hapo wanataka vile vitu unavyotumiaga kucollect data kama Questionnaire zile na document zingine
N.B kwa mimi nilivyofikiria na ambavyo huwa najibu maswali kama hayo
Nilishawahi kukutana na swali kama hilo linataka features za kifaa Fulani sasa hapo unajiuliza hapa nitaje (characteristic au nitaje vile vitu vilivyo ndani ya kifaa)
 
Yap yap mkuu, ndiyo hizo tools, questionnaires, interviews, n.k, ngoja nitoe pdf ya hicho kipande, kitasaidia wadau asa kwenye research.

Ukiondoa engineering hiyo survey ni general tu mkuu, descriptive research.....

Hiyo mitego kwenye maswali ndiyo inakanda wadau....
 
Ndio hiyo mitego unaweza kuona swali jepesi lakini kumbe linataka kitu kingine kabisa
 
Mwifwa mkuu ukiwa unajiandaa huko na mkando wa course yako, mimi nitakuwa nadondosha maswali fikirishi ya research, unajua nimekandwa hadi nimechocha.

Na mimi najua baada ya nyie kumaliza kukandwa na mimi nitafuata kwenye mkeka wa MDG's kada nyingine zilizobaki.

Swali
Research methodology is also research? Explain
wizy njoo huku utupe tips wewe ndiye angalau umefika oral...
 
KADA YA DRIVING

INTERVIEW ZA MADEREVA UPANDE WA WRITTEN,PRACTICAL NA ORAL MASWALI HUWA YAKOJE...?
Mkuu cha kukusaidia ni kwamba wewe soma kufa na kupona, hao jamaa siyo watu wazuri, uzuri kazi za udereva huwa ni nyingi wewe kwa muda huu wa kwenda interview meza gari na mambo muhimu ya udereva.

Hata kama mtu akikustua usiku wa manane akakupiga swali wewe unajibu kama unakula chakula ukipendacho, kikubwa uingie kwenye database.
 
Shukrani mkuu kwa mchango wako.....
 
KADA YA DRIVING

INTERVIEW ZA MADEREVA UPANDE WA WRITTEN,PRACTICAL NA ORAL MASWALI HUWA YAKOJE...?
Mkuu soma tu madesa yote ya chuo alama za barabarani,procedures zakuwasha gari soma part zake na mengine
Ngoja waje wenye uzoefu wakuelezee kwenye kada hio
Pia ujue labda ikitokea incident fulani labda gari imefail utafanyaje?
 
Hapo mkuu unajua methodology imebeba parts ambazo zote zipo kwenye research ndo maana wanasema it's also a research kwahiyo hapo tunaexplain zile parts za methodology ambazo zote pia zipo kwenye research
1.purpose of study
2.materials/instrument
3.techniques
4.data collection and they methods
5.data analysis
Na nyingine
 
Kabisa mkuu, kikubwa ni kutambua aina ya research unayotaka kufanya either ni experimental au survey e.t.c.
 
Hili swali linahitaji ways used to conduct survey related to research kama vile interview and questionnaire.
 
Research is a systematic, so inamaana Kuna vitu ambavyo tunavifuata ili kukamilisha hiyo system so automatic tutaconsider research methodologies kama kukamilisha system hiyo, so majibu hapa ni ya research methodologies.
 
Research is a systematic, so inamaana Kuna vitu ambavyo tunavifuata ili kukamilisha hiyo system so automatic tutaconsider research methodologies kama kukamilisha system hiyo, so majibu hapa ni ya research methodologies.
Safi mkuu, kama hutojali, Je waweza kumention hizo methodologies? Walau tupate kuzifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…