Yellescabar
Senior Member
- Mar 19, 2017
- 115
- 253
Zinatumika mbinu za kivita kukupinduaWanatoa stori nyingi kwenye swali ili wakupoteze njia
Mimi huwa nalitafuta swali lilipo tu, hizo story zingine sina muda nazoZinatumika mbinu za kivita kukupindua
Ndo jambo la muhim iloMimi huwa nalitafuta swali lilipo tu, hizo story zingine sina muda nazo
Na mimi nayataka ayo maswali,jamani kwa waliofanya interview ya tutorial assistant wa HRM chuo cha Mwalim Nyerere naombeni maswali mliokutana nayo
ππππHebu tupe feedback wametoa maswali gani?Naona kutoa story ndefu kwenye swali ndo mbinu mpya ya utumishi kufelisha watu
That can be true boss, nmefanya ya HESLB na ilikuwa kama hivyo, anway,this is my 1st time nafanya interview za utumishi Hivi unaweza kuscore 50+ na Bado usiende oral au wanafanyaga vipi mkuuNaona kutoa story ndefu kwenye swali ndo mbinu mpya ya utumishi kufelisha watu
Inategemeana na ufaulu wenu kwenye pepa mkifaulu sana na nafasi zinazotakiwa zikawa chache unaweza usiende oralThat can be true boss, nmefanya ya HESLB na ilikuwa kama hivyo, anway,this is my 1st time nafanya interview za utumishi Hivi unaweza kuscore 50+ na Bado usiende oral au wanafanyaga vipi mkuu
Umeitwa oral mkuu? au unataka kupiga jerambaJamani mwenye maswali ya oral utumishi, kada ya hr au admistrativeofficer , aliyewahi kukutana nayo, naitaji
Hahahaha, dk 1 inaishia kusoma story, dk inayofuata kuanza kuvuta memory ya points, zinabaki dk 8 za kukamilisha swaliNaona kutoa story ndefu kwenye swali ndo mbinu mpya ya utumishi kufelisha watu
Ndio mkuu, unaweza kupata hata 95 na usiende oral.That can be true boss, nmefanya ya HESLB na ilikuwa kama hivyo, anway,this is my 1st time nafanya interview za utumishi Hivi unaweza kuscore 50+ na Bado usiende oral au wanafanyaga vipi mkuu
Poa poa mkuuNdio mkuu, unaweza kupata hata 95 na usiende oral.
Oral inategemea perfomance na jinsi mchagua wanaoenda oral atakavyojisikia kwa siku hiyo
ππππKwamba atakavyojisikia hahhhhNdio mkuu, unaweza kupata hata 95 na usiende oral.
Oral inategemea perfomance na jinsi mchagua wanaoenda oral atakavyojisikia kwa siku hiyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba atakavyojisikia hahhhh
Wale jamaa Wana roho ngumu sanaππππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Akisema leo ngoja tuwakande sana, anakata marks za juu
Ule muda umewekwa strategically kukufanya ufeli.Aisee!!Changamoto ya muda kwenye Pepa za Utumishi, hili nalo walitizame....
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ na kama ndo mara yako ya kwanza kufanya utumishi utashangaa wewe muda haujakutosha ila kuna mwamba dakika ya 10 tangu pepa ianze kaomba karatasi ya pili π€£π€£π€£Ule muda umewekwa strategically kukufanya ufeli.
Ushauri wa bure.. Ukisikia anza mtihani kwenye written.. usianze kusoma maswali.. anza kufanya swali.. kama maswali ni manne.. hakikisha unafanya kila swali dk 10.. hii itakusaidia kuokota max kila swali na utatoboa.Aisee!!Changamoto ya muda kwenye Pepa za Utumishi, hili nalo walitizame....