PSRS interview questions (written, pract & oral)

Naona kutoa story ndefu kwenye swali ndo mbinu mpya ya utumishi kufelisha watu
That can be true boss, nmefanya ya HESLB na ilikuwa kama hivyo, anway,this is my 1st time nafanya interview za utumishi Hivi unaweza kuscore 50+ na Bado usiende oral au wanafanyaga vipi mkuu
 
Inategemeana na ufaulu wenu kwenye pepa mkifaulu sana na nafasi zinazotakiwa zikawa chache unaweza usiende oral
 
Naona kutoa story ndefu kwenye swali ndo mbinu mpya ya utumishi kufelisha watu
Hahahaha, dk 1 inaishia kusoma story, dk inayofuata kuanza kuvuta memory ya points, zinabaki dk 8 za kukamilisha swali
 
That can be true boss, nmefanya ya HESLB na ilikuwa kama hivyo, anway,this is my 1st time nafanya interview za utumishi Hivi unaweza kuscore 50+ na Bado usiende oral au wanafanyaga vipi mkuu
Ndio mkuu, unaweza kupata hata 95 na usiende oral.

Oral inategemea perfomance na jinsi mchagua wanaoenda oral atakavyojisikia kwa siku hiyo
 
😂😂😂😂Kwamba atakavyojisikia hahhhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba atakavyojisikia hahhhh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Akisema leo ngoja tuwakande sana, anakata marks za juu
 
Back
Top Bottom