Imagine anachukuliwa mwenye 95, aachwa mwenye 94Wale jamaa Wana roho ngumu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hii juzi ilinitokea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kama ndo mara yako ya kwanza kufanya utumishi utashangaa wewe muda haujakutosha ila kuna mwamba dakika ya 10 tangu pepa ianze kaomba karatasi ya pili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa yaaniUle muda umewekwa strategically kukufanya ufeli.
Nimekupata kakaUshauri wa bure.. Ukisikia anza mtihani kwenye written.. usianze kusoma maswali.. anza kufanya swali.. kama maswali ni manne.. hakikisha unafanya kila swali dk 10.. hii itakusaidia kuokota max kila swali na utatoboa.
Aisee!!Changamoto ya muda kwenye Pepa za Utumishi, hili nalo walitizame....
Lakini mimi nnavyoona kuongeza karatasi ya pili sio kutoboa sababu nawakumbusha hawa jamaa hawahitaji mambo mengi ya blaablaa wanataka ujibu short and clearlyMimi hii juzi ilinitokea.
Nilikuwa naendelea kujibu swali la kwanza kati ya manne, nikasikia jamaa anaomba karatasi maana kila swali lilikuwa linaishia kwenye page 1, kwa hiyo hapo jamaa alikuwa kashatembea na maswali 2
Kweli mzee yani ni short and clearly tembea mbele kama injiliLakini mimi nnavyoona kuongeza karatasi ya pili sio kutoboa sababu nawakumbusha hawa jamaa hawahitaji mambo mengi ya blaablaa wanataka ujibu short and clearly
oya wizy kuna watu kumbe walikuwa na pepa tayari, daah maisha haya hayana usawaKweli mzee yani ni short and clearly tembea mbele kama injili
😂😂😂😂Wapo na pepa na hawasemaoya wizy kuna watu kumbe walikuwa na pepa tayari, daah maisha haya hayana usawa
Pepa gani tena?pepa ya udahilii ukipewaa tu ukiiona unajua hapa nishaliwa kichwa au nimepita...!! na kujibu OP ni rahisi snaa 😀 😀 😀
Tupe muongozo maswali yalikuajeBaada ya mpambano wa jana pale UDOM nimerudi humu tena.Kwakuwa ilikuwa mara ya 1 kwenda nina mengi sanaaaaa ya kushea na watanzania wenzangu.Ngoja akili ndo inajichakata hapa nitajitahidi kutoa mawazo na ushauri kwa ndugu zangu humu ili wajue kinachoendelea ktk hizi interview.
Ila si mchezo,ni vita vita kule.Inatakiwa kujikoki silaha za nuclear kila kona.
Interview nimefanya kwa upambanaji sanaaaaaaaa,huku nikiwa hoiiiii.Lecture theatre 1 nilikuwa humo ndani.Kwanza picha linaanza kasimamizi kamoja kametuchambaaaaa tukachambika kudadadeki.
Maswali magumuuuuuu! Ila kongole kwa vijana wameonesha kupambana, endeleeni kufanya hivo japo ukiangalia hali za watu mle ndani unaweza anza lia vile wanatia huruma.
Mapambano yaendelee,ngoja matokeo yatoke tarehe 2,iwe selected ama not poa tu.
Nitakuja na hints za huko soon.
Mm napenda ule Muda ubaki hvyo hvyo mnk itakufanya ufikiri kwa haraka Sana chapu alfu inataka uwende direct kwenye point hakuna blaah blhaaAisee!!Changamoto ya muda kwenye Pepa za Utumishi, hili nalo walitizame....
Maswali magumu sn mkuu kwa nature yetu sie vijana.Ila yanajibika.Inatakiwa uwe na thinking capacity kubwa sn na mfuatiliaji wa mambo deep down. Pia uwe mjnja wa kujibu na kukimbizana na muda.Tupe muongozo maswali yalikuaje
Ulipiga paper ya kada kiongozi?Baada ya mpambano wa jana pale UDOM nimerudi humu tena.Kwakuwa ilikuwa mara ya 1 kwenda nina mengi sanaaaaa ya kushea na watanzania wenzangu.Ngoja akili ndo inajichakata hapa nitajitahidi kutoa mawazo na ushauri kwa ndugu zangu humu ili wajue kinachoendelea ktk hizi interview.
Ila si mchezo,ni vita vita kule.Inatakiwa kujikoki silaha za nuclear kila kona.
Interview nimefanya kwa upambanaji sanaaaaaaaa,huku nikiwa hoiiiii.Lecture theatre 1 nilikuwa humo ndani.Kwanza picha linaanza kasimamizi kamoja kametuchambaaaaa tukachambika kudadadeki.
Maswali magumuuuuuu! Ila kongole kwa vijana wameonesha kupambana, endeleeni kufanya hivo japo ukiangalia hali za watu mle ndani unaweza anza lia vile wanatia huruma.
Mapambano yaendelee,ngoja matokeo yatoke tarehe 2,iwe selected ama not poa tu.
Nitakuja na hints za huko soon.
Ntayaandika kwa kifupi jinsi mimi nilivyoelewa coz yalikua yameulizwa kwa mfumo wa maelezo marefu.Tupe muongozo maswali yalikuaje
Sawa sawa mkuu chamuhimu umeshafanyaNtayaandika kwa kifupi jinsi mimi nilivyoelewa coz yalikua yameulizwa kwa mfumo wa maelezo marefu.
1.objectives of loans board management.
2.Discuss the reasons for establishing loans board.
3.Criteria for one to be eligible for loan from heslb.
4.What are expectations of government of Tanzania on Heslb finance?
Ila waliuliza kwa namna ya mzungukoooo na maelezo mengiiii.
Na kwenda opp ni rahisi
Je umesema ndio Mara ya kwanza kuhudhuria paper za utumishi je ulikuwa wapi ulikuwa una kazi yako ? Au ulikuwa huitwi kutokan na kuto kizi vigezo au ulikuwa au ndio umemaliza chuo mwaka Jana ndio unaanza mapambnoBaada ya mpambano wa jana pale UDOM nimerudi humu tena.Kwakuwa ilikuwa mara ya 1 kwenda nina mengi sanaaaaa ya kushea na watanzania wenzangu.Ngoja akili ndo inajichakata hapa nitajitahidi kutoa mawazo na ushauri kwa ndugu zangu humu ili wajue kinachoendelea ktk hizi interview.
Ila si mchezo,ni vita vita kule.Inatakiwa kujikoki silaha za nuclear kila kona.
Interview nimefanya kwa upambanaji sanaaaaaaaa,huku nikiwa hoiiiii.Lecture theatre 1 nilikuwa humo ndani.Kwanza picha linaanza kasimamizi kamoja kametuchambaaaaa tukachambika kudadadeki.
Maswali magumuuuuuu! Ila kongole kwa vijana wameonesha kupambana, endeleeni kufanya hivo japo ukiangalia hali za watu mle ndani unaweza anza lia vile wanatia huruma.
Mapambano yaendelee,ngoja matokeo yatoke tarehe 2,iwe selected ama not poa tu.
Nitakuja na hints za huko soon.
Ndiyo ni mara ya 1,nipo napambana sekta binafsi. Hii ndo ya kwanza kuomba ktk mfumo wao na nikaitwa interview for the first time. Kusoma nilimaliza 2014 mkuuJe umesema ndio Mara ya kwanza kuhudhuria paper za utumishi je ulikuwa wapi ulikuwa una kazi yako ? Au ulikuwa huitwi kutokan na kuto kizi vigezo au ulikuwa au ndio umemaliza chuo mwaka Jana ndio unaanza mapambno