PSRS interview questions (written, pract & oral)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kama ndo mara yako ya kwanza kufanya utumishi utashangaa wewe muda haujakutosha ila kuna mwamba dakika ya 10 tangu pepa ianze kaomba karatasi ya pili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi hii juzi ilinitokea.
Nilikuwa naendelea kujibu swali la kwanza kati ya manne, nikasikia jamaa anaomba karatasi maana kila swali lilikuwa linaishia kwenye page 1, kwa hiyo hapo jamaa alikuwa kashatembea na maswali 2[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ushauri wa bure.. Ukisikia anza mtihani kwenye written.. usianze kusoma maswali.. anza kufanya swali.. kama maswali ni manne.. hakikisha unafanya kila swali dk 10.. hii itakusaidia kuokota max kila swali na utatoboa.
Nimekupata kaka
 
Aisee!!Changamoto ya muda kwenye Pepa za Utumishi, hili nalo walitizame....
Mimi hii juzi ilinitokea.
Nilikuwa naendelea kujibu swali la kwanza kati ya manne, nikasikia jamaa anaomba karatasi maana kila swali lilikuwa linaishia kwenye page 1, kwa hiyo hapo jamaa alikuwa kashatembea na maswali 2
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
Lakini mimi nnavyoona kuongeza karatasi ya pili sio kutoboa sababu nawakumbusha hawa jamaa hawahitaji mambo mengi ya blaablaa wanataka ujibu short and clearly
 
Kweli mzee yani ni short and clearly tembea mbele kama injili
 
pepa ya udahilii ukipewaa tu ukiiona unajua hapa nishaliwa kichwa au nimepita...!! na kujibu OP ni rahisi snaa 😀 😀 😀
 
Baada ya mpambano wa jana pale UDOM nimerudi humu tena.Kwakuwa ilikuwa mara ya 1 kwenda nina mengi sanaaaaa ya kushea na watanzania wenzangu.Ngoja akili ndo inajichakata hapa nitajitahidi kutoa mawazo na ushauri kwa ndugu zangu humu ili wajue kinachoendelea ktk hizi interview.

Ila si mchezo,ni vita vita kule.Inatakiwa kujikoki silaha za nuclear kila kona.

Interview nimefanya kwa upambanaji sanaaaaaaaa,huku nikiwa hoiiiii.Lecture theatre 1 nilikuwa humo ndani.Kwanza picha linaanza kasimamizi kamoja kametuchambaaaaa tukachambika kudadadeki.

Maswali magumuuuuuu! Ila kongole kwa vijana wameonesha kupambana, endeleeni kufanya hivo japo ukiangalia hali za watu mle ndani unaweza anza lia vile wanatia huruma.

Mapambano yaendelee,ngoja matokeo yatoke tarehe 2,iwe selected ama not poa tu.

Nitakuja na hints za huko soon.
 
Tupe muongozo maswali yalikuaje
 
Tupe muongozo maswali yalikuaje
Maswali magumu sn mkuu kwa nature yetu sie vijana.Ila yanajibika.Inatakiwa uwe na thinking capacity kubwa sn na mfuatiliaji wa mambo deep down. Pia uwe mjnja wa kujibu na kukimbizana na muda.

Kuna mdau kayaweka humu jamvini,japo kwa ufupi.Maana wanauliza kwa ureefu kukuchanganya.
 
Baada ya mpambano wa jana pale UDOM nimerudi humu tena.Kwakuwa ilikuwa mara ya 1 kwenda nina mengi sanaaaaa ya kushea na watanzania wenzangu.Ngoja akili ndo inajichakata hapa nitajitahidi kutoa mawazo na ushauri kwa ndugu zangu humu ili wajue kinachoendelea ktk hizi interview.

Ila si mchezo,ni vita vita kule.Inatakiwa kujikoki silaha za nuclear kila kona.

Interview nimefanya kwa upambanaji sanaaaaaaaa,huku nikiwa hoiiiii.Lecture theatre 1 nilikuwa humo ndani.Kwanza picha linaanza kasimamizi kamoja kametuchambaaaaa tukachambika kudadadeki.

Maswali magumuuuuuu! Ila kongole kwa vijana wameonesha kupambana, endeleeni kufanya hivo japo ukiangalia hali za watu mle ndani unaweza anza lia vile wanatia huruma.

Mapambano yaendelee,ngoja matokeo yatoke tarehe 2,iwe selected ama not poa tu.

Nitakuja na hints za huko soon.
Ulipiga paper ya kada kiongozi?
 
Tupe muongozo maswali yalikuaje
Ntayaandika kwa kifupi jinsi mimi nilivyoelewa coz yalikua yameulizwa kwa mfumo wa maelezo marefu.
1.objectives of loans board management.
2.Discuss the reasons for establishing loans board.
3.Criteria for one to be eligible for loan from heslb.
4.What are expectations of government of Tanzania on Heslb finance?

Ila waliuliza kwa namna ya mzungukoooo na maelezo mengiiii.

Na kwenda opp ni rahisi
 
Sawa sawa mkuu chamuhimu umeshafanya
 
Baada ya mpambano wa jana pale UDOM nimerudi humu tena.Kwakuwa ilikuwa mara ya 1 kwenda nina mengi sanaaaaa ya kushea na watanzania wenzangu.Ngoja akili ndo inajichakata hapa nitajitahidi kutoa mawazo na ushauri kwa ndugu zangu humu ili wajue kinachoendelea ktk hizi interview.

Ila si mchezo,ni vita vita kule.Inatakiwa kujikoki silaha za nuclear kila kona.

Interview nimefanya kwa upambanaji sanaaaaaaaa,huku nikiwa hoiiiii.Lecture theatre 1 nilikuwa humo ndani.Kwanza picha linaanza kasimamizi kamoja kametuchambaaaaa tukachambika kudadadeki.

Maswali magumuuuuuu! Ila kongole kwa vijana wameonesha kupambana, endeleeni kufanya hivo japo ukiangalia hali za watu mle ndani unaweza anza lia vile wanatia huruma.

Mapambano yaendelee,ngoja matokeo yatoke tarehe 2,iwe selected ama not poa tu.

Nitakuja na hints za huko soon.
Je umesema ndio Mara ya kwanza kuhudhuria paper za utumishi je ulikuwa wapi ulikuwa una kazi yako ? Au ulikuwa huitwi kutokan na kuto kizi vigezo au ulikuwa au ndio umemaliza chuo mwaka Jana ndio unaanza mapambno
 
Ndiyo ni mara ya 1,nipo napambana sekta binafsi. Hii ndo ya kwanza kuomba ktk mfumo wao na nikaitwa interview for the first time. Kusoma nilimaliza 2014 mkuu
 
Back
Top Bottom