PSRS interview questions (written, pract & oral)

Mimi hii juzi ilinitokea.
Nilikuwa naendelea kujibu swali la kwanza kati ya manne, nikasikia jamaa anaomba karatasi maana kila swali lilikuwa linaishia kwenye page 1, kwa hiyo hapo jamaa alikuwa kashatembea na maswali 2[emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee kama swali moja linaishia kwenye paper moja means swali moja umeandika two pages kwa hawa utumishi ninaowajua huwez kutoboa, vile vile muda hauwez kutosha. Atleast use three pages kwenye maswali yote. Sisi huyo babu hadi alitwambia tunawapa paper moja kwa makusudi, unaambiwa mention we unaanza kuelezea[emoji23], who will consider u
 
Kwahiyo mtu unatakiwa ujibu very clear sio kuandika ma essay.[emoji28]

Oohhh!! God forbid.[emoji18]
 
Aisee kama swali moja linaishia kwenye paper moja means swali moja umeandika two pages kwa hawa utumishi ninaowajua huwez kutoboa, vile vile muda hauwez kutosha. Atleast use three pages kwenye maswali yote. Sisi huyo babu hadi alitwambia tunawapa paper moja kwa makusudi, unaambiwa mention we unaanza kuelezea[emoji23], who will consider u
Kwa tathmini niliyoifanya siku hiyo, page moja ilikuwa inatosha swali moja, hapo endapo ukiwa umeelezea point kabisa, kaama ni kumention tu nusu ilikuwa inatosha.

Pia nilibahatika kukaa front bencher, msimamizi aliyekuwa karibu yangu kabla ya kuanza paper akiwa ananielekeza nijaze namba na kusign qn paper, akaniambia swali moja nilijibie mule mule kwenye qn paper maana maswali yaliishia nusu ya paper. Hili linathibitisha kuwa hawataki maneno mengi
 
Wale wanatakaga uwe short and clear kati ya pepa zote nlizojibu kwa essay sikutoboa kufika oral lakini zote nilizomention point na maelezo tu kama mistari miwili kwa point zote nilifika oral
 
Mfano ukiambiwa explain/discuss,uta mention tu ..?kama yes na je ukiambiwa ok outline/mention utafanyeje?
 
Option zakujibu hizo za discuss/explain either uandike essay lakini iwe fupi sio maelezo mengi ndio maana huwa wanaandika briefly
Au option nyingine zile point ziweke kwenye roman afu unazielezea kidogo yani chamsingi hata ukiandika esaay ndefu lakini wanachotaka point zionekane mzee sio maelezo afu point umeiweka katika ya maelezo hapo utakwama mzee
 
Kwa tathmini niliyoifanya siku hiyo, page moja ilikuwa inatosha swali moja, hapo endapo ukiwa umeelezea point kabisa, kaama ni kumention tu nusu ilikuwa inatosha.

Pia nilibahatika kukaa front bencher, msimamizi aliyekuwa karibu yangu kabla ya kuanza paper akiwa ananielekeza nijaze namba na kusign qn paper, akaniambia swali moja nilijibie mule mule kwenye qn paper maana maswali yaliishia nusu ya paper. Hili linathibitisha kuwa hawataki maneno mengi
Hivi kwanza hao watu wanaoandika makaratasi mawili ,huwa wanatoa wapi huo muda?
 
Back
Top Bottom