Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sawa mkuu, kila la kheriJaramba mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, kila la kheriJaramba mkuu
😂😂😂😂Hiyo tunaitaga mashule shule kula msuli mzeeJaramba mkuu
Boss upo kimya sana nikajua umepata kazi😂😂😂Jamani tulieni j5 wala sio mbali
Tutajua mbivu na mbichi kuhusu huo mtihani rahisi mnaousemea
Nipate wapi boss wanguBoss upo kimya sana nikajua umepata kazi😂😂😂
Wewe wakishua hukosi hela 😂😂😂😂umeenda utumishi wanakusubirizia ufike ndo pepa ianze daaah🤣🤣🤣
Nipate wapi boss wangu
Aisee kama swali moja linaishia kwenye paper moja means swali moja umeandika two pages kwa hawa utumishi ninaowajua huwez kutoboa, vile vile muda hauwez kutosha. Atleast use three pages kwenye maswali yote. Sisi huyo babu hadi alitwambia tunawapa paper moja kwa makusudi, unaambiwa mention we unaanza kuelezea[emoji23], who will consider uMimi hii juzi ilinitokea.
Nilikuwa naendelea kujibu swali la kwanza kati ya manne, nikasikia jamaa anaomba karatasi maana kila swali lilikuwa linaishia kwenye page 1, kwa hiyo hapo jamaa alikuwa kashatembea na maswali 2[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahiyo mtu unatakiwa ujibu very clear sio kuandika ma essay.[emoji28]Aisee kama swali moja linaishia kwenye paper moja means swali moja umeandika two pages kwa hawa utumishi ninaowajua huwez kutoboa, vile vile muda hauwez kutosha. Atleast use three pages kwenye maswali yote. Sisi huyo babu hadi alitwambia tunawapa paper moja kwa makusudi, unaambiwa mention we unaanza kuelezea[emoji23], who will consider u
Kwa tathmini niliyoifanya siku hiyo, page moja ilikuwa inatosha swali moja, hapo endapo ukiwa umeelezea point kabisa, kaama ni kumention tu nusu ilikuwa inatosha.Aisee kama swali moja linaishia kwenye paper moja means swali moja umeandika two pages kwa hawa utumishi ninaowajua huwez kutoboa, vile vile muda hauwez kutosha. Atleast use three pages kwenye maswali yote. Sisi huyo babu hadi alitwambia tunawapa paper moja kwa makusudi, unaambiwa mention we unaanza kuelezea[emoji23], who will consider u
Ndio mkuu, straight, short and clearKwahiyo mtu unatakiwa ujibu very clear sio kuandika ma essay.[emoji28]
Oohhh!! God forbid.[emoji18]
Wale wanatakaga uwe short and clear kati ya pepa zote nlizojibu kwa essay sikutoboa kufika oral lakini zote nilizomention point na maelezo tu kama mistari miwili kwa point zote nilifika oralKwa tathmini niliyoifanya siku hiyo, page moja ilikuwa inatosha swali moja, hapo endapo ukiwa umeelezea point kabisa, kaama ni kumention tu nusu ilikuwa inatosha.
Pia nilibahatika kukaa front bencher, msimamizi aliyekuwa karibu yangu kabla ya kuanza paper akiwa ananielekeza nijaze namba na kusign qn paper, akaniambia swali moja nilijibie mule mule kwenye qn paper maana maswali yaliishia nusu ya paper. Hili linathibitisha kuwa hawataki maneno mengi
Mfano ukiambiwa explain/discuss,uta mention tu ..?kama yes na je ukiambiwa ok outline/mention utafanyeje?Wale wanatakaga uwe short and clear kati ya pepa zote nlizojibu kwa essay sikutoboa kufika oral lakini zote nilizomention point na maelezo tu kama mistari miwili kwa point zote nilifika oral
Option zakujibu hizo za discuss/explain either uandike essay lakini iwe fupi sio maelezo mengi ndio maana huwa wanaandika brieflyMfano ukiambiwa explain/discuss,uta mention tu ..?kama yes na je ukiambiwa ok outline/mention utafanyeje?
Hivi kwanza hao watu wanaoandika makaratasi mawili ,huwa wanatoa wapi huo muda?Kwa tathmini niliyoifanya siku hiyo, page moja ilikuwa inatosha swali moja, hapo endapo ukiwa umeelezea point kabisa, kaama ni kumention tu nusu ilikuwa inatosha.
Pia nilibahatika kukaa front bencher, msimamizi aliyekuwa karibu yangu kabla ya kuanza paper akiwa ananielekeza nijaze namba na kusign qn paper, akaniambia swali moja nilijibie mule mule kwenye qn paper maana maswali yaliishia nusu ya paper. Hili linathibitisha kuwa hawataki maneno mengi
Ukiwa na speed muda unatoshaHivi kwanza hao watu wanaoandika makaratasi mawili ,huwa wanatoa wapi huo muda?
Ikawe heriKesho ndo kesho au sio🤣
Mkuu ulipiga ipi?Kesho ndo kesho au sio🤣
Bodi ya mikopoMkuu ulipiga ipi?
Ameeen mshikaji wanguIkawe heri