Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuishi humo kiongozi tunasemaga saidia unapoweza mzee kwahiyo kama nakijua kitu nitakwambia tuMwamba una nafasi yako ya kipekee pale mbinguni.ulinipa hints za written alafu nikapita nazo juu juu sikuwa siriasi alafu nikayakuta japo nikumbuka mojaoja lkn it was great
Ubarikiwe..
Tupe nondo za oral broo
Nadhani ni geologist hiyoKada gani hiyo?
Sure man.nimepigwa mishale kama saba hivi huu ndo kidogo umenikosa first stage..Tuishi humo kiongozi tunasemaga saidia unapoweza mzee kwahiyo kama nakijua kitu nitakwambia tu
gud gud mzeeSure man.nimepigwa mishale kama saba hivi huu ndo kidogo umenikosa first stage..
😂😂😂😂Mrejesho wanini tena?Nakuja na mrejesho soon subirini kidogo
Wa written interview mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mrejesho wanini tena?
Kila la heriMrejesho:
Kwakweli ni kwamba mimi kwa mara ya kwanza nilifika utumishi kwaajili ya written interview. Niseme tu nilifika Dodoma saa saba usiku kutokana na mazingira ya kusafiri kuwa magumu.Mara baada ya kufika sijuwa na sehemu ya kufikia,hivyo ilinilazimu nikeshe barabarani sehemu ambapo watu wapo muda wote.Asubuhi nilinunua maji nikanawa uso na kuchukua toyo mpaka UDOM.
Nilipofika nilihamaki uwingi wa watu! Nikasema Mungu hiki ni nini? Nikajisemea nimekuja kufanya nn huku? Nikiwa ninaonekana mshamba na upweke nisiye na hata rafiki wa kujadili naye chochote nikiwa nimesimama pembeni ya lecture theatre 1 kule college of business and education.
Baada ya muda walifika wasimamizi wakaanza kagua vyeti,nikafoleni nikaingia nikiwa na unyonge,ushamba,uchovu na usingizi mkubwa huku nikiwaza kuwa I am just trying.
Kweli paper ikaletwa,tukaelekezwa then tukafanya.Kiukweli ilikuwa NGUMUUUUUUUU! Ila inafanyika kwa wale wasomi na wafuatiliaji wazuri wa sera ya serikali katika utoaji wa mikopo kwa elimu ya juu.Ufanyaji wangu ulikuwa ni wa kujikongoja,huku nikihakikisha kila swali nagusa.
Nilijibu short and clear. Huku nikiwa nimekata tamaa. Ila kuna wanaume na wanawake haswaa waliomba hadi karatasi ya pili.Nilitoka na kuwahi stand nikapata chochote na kuanza safari ya kurudi kijijini kwetu nikiwa sina matumaini Yoyote.
Matokeo:
Leo nimeshikwa butwaa et nipo SELECTED FOR ORAL! Sikutegemea kabisa.Msimamo wangu ni kuwa nitarudi tena Dodoma kuwasikiliza maboss wakandaji live,nitakwenda KUJARIBU hiyo Oral.Sijawahi simama kwaajili ya Oral ila niwakute hukohuko hao wakandaji.Nikikosa basi,nitashukuru Mungu kwa kila kitu.
Kila lakher kwa woteeee mnaopigania huko,Mungu awafungulie njia.
All the best mkuuMrejesho:

Umepita kwenda oral lakini?Mwamba una nafasi yako ya kipekee pale mbinguni.ulinipa hints za written alafu nikapita nazo juu juu sikuwa siriasi alafu nikayakuta japo nikumbuka mojaoja lkn it was great
Ubarikiwe..
Tupe nondo za oral broo
YeahUmepita kwenda oral lakini?
Sawa mkuu, tutakutana kwa Asha Rose MigiroYeah
Mkando paper two.
Tarehe 7 magic Monday..
😂😂😂😂Utumish facken sana nimepambana nimepata above 50 ila cutting point above 56 [emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
Yeah
Mkando paper two.
Tarehe 7 magic Monday..
Hongera Sana hyo Ni yakoMrejesho:
Kwakweli ni kwamba mimi kwa mara ya kwanza nilifika utumishi kwaajili ya written interview. Niseme tu nilifika Dodoma saa saba usiku kutokana na mazingira ya kusafiri kuwa magumu.Mara baada ya kufika sijuwa na sehemu ya kufikia,hivyo ilinilazimu nikeshe barabarani sehemu ambapo watu wapo muda wote.Asubuhi nilinunua maji nikanawa uso na kuchukua toyo mpaka UDOM.
Nilipofika nilihamaki uwingi wa watu! Nikasema Mungu hiki ni nini? Nikajisemea nimekuja kufanya nn huku? Nikiwa ninaonekana mshamba na upweke nisiye na hata rafiki wa kujadili naye chochote nikiwa nimesimama pembeni ya lecture theatre 1 kule college of business and education.
Baada ya muda walifika wasimamizi wakaanza kagua vyeti,nikafoleni nikaingia nikiwa na unyonge,ushamba,uchovu na usingizi mkubwa huku nikiwaza kuwa I am just trying.
Kweli paper ikaletwa,tukaelekezwa then tukafanya.Kiukweli ilikuwa NGUMUUUUUUUU! Ila inafanyika kwa wale wasomi na wafuatiliaji wazuri wa sera ya serikali katika utoaji wa mikopo kwa elimu ya juu.Ufanyaji wangu ulikuwa ni wa kujikongoja,huku nikihakikisha kila swali nagusa.
Nilijibu short and clear. Huku nikiwa nimekata tamaa. Ila kuna wanaume na wanawake haswaa waliomba hadi karatasi ya pili.Nilitoka na kuwahi stand nikapata chochote na kuanza safari ya kurudi kijijini kwetu nikiwa sina matumaini Yoyote.
Matokeo:
Leo nimeshikwa butwaa et nipo SELECTED FOR ORAL! Sikutegemea kabisa.Msimamo wangu ni kuwa nitarudi tena Dodoma kuwasikiliza maboss wakandaji live,nitakwenda KUJARIBU hiyo Oral.Sijawahi simama kwaajili ya Oral ila niwakute hukohuko hao wakandaji.Nikikosa basi,nitashukuru Mungu kwa kila kitu.
Kila lakher kwa woteeee mnaopigania huko,Mungu awafungulie njia.
Hahahahaa, pole sana mkuu.Utumish facken sana nimepambana nimepata above 50 ila cutting point above 56 [emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373]