Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kaka,nishachanganyikiwa mimi😀 ,yani sherehe ya mwaka mpya itukute hatuna pesa !!!Hauwezi kuanza kutembea kabla haujaanza kutambaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye hizi nyuzi nasikilizia mchongo[emoji1787][emoji1787]
Dunia haiko fair kabisa, twende nayo hivyo hivyoKaka,nishachanganyikiwa mimi[emoji3] ,yani sherehe ya mwaka mpya itukute hatuna pesa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23] anataka kuluka stage ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anataka kupiga oral kabla ya written
😂😂😂😂Ngoja wakamuoneshe kuwa stage hazirukwi[emoji23][emoji23][emoji23] anataka kuluka stage ..
kwa hapoKwanini uwaachie hiyo nafasi ya wao kukudhania.Sema mwenyewe wewe ni nani umesoma wapi.Umeambiwa uzungumzie shule wewe unataja degree tu.Hizo s/m na sekondari sio shule?
Upo sahihi kabisa brokwa hapo
1. Start with your name
2. You have to tell your last education level
3. Briefly and clearly Explain your experience, skills, achievements you have related to the job applied for.
4. Tell why are you qualified for the job applied for.
Hapo kwenye kutoa solution sasa ndo huwa tunabeba marks mzee kwasababu unaajiriwa ili usolve challenges jiandae kuchukua barua mzeeMie kuna Usahili mmoja nilifanya wa TA kweny oral na ilikuwa ya kwanza kufanya ya TA, nilchogundua kweny maswali 5 niliyoulizwa ukitoa swali la kwanza mengne manne yaliobaki niliyoulizwa yalitaka point 5 zakujibu ,,nanilichigundua kwenye oral ya Q&A ya TA swali la pili na la Tatu yanatoka kweny presentation ulioiandaa ,swali la nne linaweza toka popote either kweny presentation uliopresent au linaloendana na career yako au TA , na swali la mwisho ni la challenges u expect as TA at least point 5 Kila swali
Q&A yangu maswali :
1.education background
2. From ur presentation give 5 points
3.from ur presentation explain 5 points
4.nakumbuka niliulizwa alikuwa kweny presentation,lilikuwa linataka challenges give at least 5 Kama haupo vzr unapoteana aisee
5.as TA what challenges do u expect to face give us at least 5...ss hapo ka hapo unazijua unatilika ,,.mie nakumbuka nililika challenges moja moja huku na brief explaination na How to handle challenges japo mie niliambiwa toa challenges lkn nilijiongeza kujibu na kutoa soln yake ,,nakumbuka nilijibu challenges 4 nikahis nmejibu 5 aisee ,,all in all nilijitahidi kujibu Kila swali
NB:
ORAL za TA , lecture zinajumuisha UANDAJI WA PRESENTATION, PRESENTATION YENYWE YA MADA YAKO na Q & A after presentation
Mwanangu wizy tuombe Mungu huwezi jua wengine walifanyeje ,,mie niliambiwa challenges 5 nilijibu 4 mmoja ikapotea ,,,Hapo kwenye kutoa solution sasa ndo huwa tunabeba marks mzee kwasababu unaajiriwa ili usolve challenges jiandae kuchukua barua mzee
Wewe ulijibu 4 Mimi nilijibu tatu😂😂😂😂😂😂lakini naamini mimi ni Bora kuliko wengine kwahiyo nasubiri barua mzee kujibu point zote haimaanishi utapita mzeeMwanangu wizy tuombe Mungu huwezi jua wengine walifanyeje ,,mie niliambiwa challenges 5 nilijibu 4 mmoja ikapotea ,,,
@wizy ngoja tuendelee kuangalia status zetu mzee baba tuone mpka mwisho wake..[emoji120][emoji120]Wewe ulijibu 4 Mimi nilijibu tatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakini naamini mimi ni Bora kuliko wengine kwahiyo nasubiri barua mzee kujibu point zote haimaanishi utapita mzee
Tuishi humo mzee@wizy ngoja tuendelee kuangalia status zetu mzee baba tuone mpka mwisho wake..[emoji120][emoji120]
Written umefaulu?RUWASA
MECHANICAL TECHNICIAN 2
PRACTICAL INTERVIEW
mwenye hints za prac wakubwa
mambo yamekaribia
hamna written sisiWritten umefaulu?
Sawa sawa tafuta humu maswali yapo walishatumahamna written sisi
ni practical direct
Ushafaulu written? au hamna writtenRUWASA
MECHANICAL TECHNICIAN 2
PRACTICAL INTERVIEW
mwenye hints za prac wakubwa
mambo yamekaribia
Ningeshangaa jobless usingeuliza kuhusu preliminary stage[emoji3][emoji3][emoji3]Written umefaulu?